Darius
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 1,951
- 320
Wana JF naombeni msaada wa mawazo yenu,nipo kwenye dilema kama title inavyosema
kama unajiamini kichwani ADVANCE ndo njia sahihi coz ubongo utatanuka ili baadae uweze kupokea fresh masomo ya chuo
lakini kama umri wako ni mkubwa, hujiamini na hupendi kusumbuka nenda tech.college
ila wewe huoni raha wakiuliza wenye cheti cha form six na ww upo...!!hio ya chuo ni shortcut ambayo itakunyima cheti cha form six
We appriciate
-o level sitting (only once)
-a level sitting (only once)
-degree holding ....!
-..............!nk
achana na mambo ya chuo wee nenda a-level...!
over