Msaada: Tiba ya Ugonjwa wa Tinnitus (Mvumo/kelele masikioni)

Msaada: Tiba ya Ugonjwa wa Tinnitus (Mvumo/kelele masikioni)

mendez-digala

Member
Joined
Sep 13, 2022
Posts
23
Reaction score
48
Habari wanaJF, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24. Kwa sasa ni mwanafunzi wa moja ya chuo kikuu nchini, nilipatwa na tatizo la kupiga makelele au mivumo masikioni mwaka 2016.

Nimesumbuliwa sana tatizo hili la masikio jambo ambalo linanipa shida hata nikiwa darasani kuwa na usikivu hafifu sana. Tafadhalini kwa yeyote anayejua dawa au sehemu ambayo naweza pata matibabu nikapona anisaidie kwani linanitesa sana .

Nitangulize shukrani zangu kwenu na mawazo yenu ni muhimu pia.

Asanteni
 
Back
Top Bottom