dibless marco
Member
- Jul 10, 2016
- 16
- 6
Hapana! Tiketi haitoshi bali ni ile list ya abiria kwenye basi.Yes,ni ushaidi mkubwa sana huo na usiupoteze.
nenda kwenye kampuni ya basi ulokata tiketi ile siku..waombe wakusaidie ushahidi..kwani kwenyw vitabu vuao wakikata tiketi chini kunabaki maandishi..au konda wa basi ile siku unasafiri awe shaodi ako..Naomba msaada sheria zinasemaje kuhusu tiketi kutumika kama ushahidi mahakaman. nimeshtaki nimemtishia mtu kumuua wakati tarehe aliyotaja kwenye maelezo yake mimi skuwepo mkoa anaodai nilimtishia yeye anadai nilimtishia tarehe 18 mwezi wa saba na mimi nimefka tar 20 mwezi wa saba tiketi pia ninayo je naweza kuitumia kama ushahid
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati wa kujitetea ndio useme hukuwapo. Achana na kusema hukuwapo kabla haijafika zamu yako ya kujitetea. Watauhujumu utetezi wako.Sasa mkuu sajo nitakuwa sijachelewa kwel, sababu nilisomewa shtaka juzi pia wakaambiwa walete washahidi tar 9
Sent using Jamii Forums mobile app
upo sawa mkuu, acha kwanza wajieleze wao mpaka mahakama itakapotoa uamuzi kwamba una kesi ya kujibu au la...ukiambiwa una kesi ya kujibu na hivyo ujiandae kujitetea ndipo utakapotoa hilo wazo kuwa utatumia defense ya alibi, kwa hiyo bado una muda wa kutosha tuWakati wa kujitetea ndio useme hukuwapo. Achana na kusema hukuwapo kabla haijafika zamu yako ya kujitetea. Watauhujumu utetezi wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushahidi wa kuona ni ushahudi mzuri. Utamuuliza shahidi hilo panga uliloshikilia ukimtisha mlalamikaji ulikuwa unelishika mkono gani wa kulia ama kushoto? Atajibu......Nashukuru sana kwa wote walionipa msaada wa kisheria. Lakini pia naomba kujua je ni maswali gani ninayopaswa kuwauliza mashahidi watakaoletwa mahakamani ktk kesi hiyo????
Sent using Jamii Forums mobile app
Kisha utamuuliza wakati anakuona alitumia darubini? Maana kumwona mtu aliyeko Mwanza akimtishia kumkata mtu panga wa Dar wakati mtkataji panga 6 akiwa Mwanza yataka uwe na darubini. Na hilo panga yaelekea ni aiba ya kombora maana panga kutoka Mwanza mpaka Dar ili liweze kumkata mtu linahitaji mtambo wa kurushia kombora.
Sent using Jamii Forums mobile app