Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najaribu....Usifikiri kila anayekuangalia anakutazama tu.
Je, kuna tofauti gani kati ya kuangalia na kutazama?
usifikiri kila anayekuangalia anakutazama tu.
Je, kuna tofauti gani kati ya kuangalia na kutazama?
Usifikiri kila anayekuangalia anakutazama tu.

kwanza kuna 'kuangali' ,'kutazama', na kuona. Tendo la kwanza ni kuona, ukishaona ndio unaangali! Vile vile unaweza 'kuona' lakini 'usiangalie' kwa mfano unapita ukaona vijana wanacheza mpira lakini usiangalie. Pia unaweza kuangalia lakini usione! Kwa mfano, mpo wa3, mnaangalia mwezi ulioandama wenzako wakaangalia wakaona na wewe ukaangalia lakini hukuona. Kutazama (watch) ni tendo la kutulia na kuangalia ama mpira,hata Tv.
Crevo Mbona mrejesho wako upo tupu(''empty'')
Maamuma Nahisi kama alipitiwa tu.Ngoja arudi..