Msaada: Toka May 2023 hadi sasa sijapata passport, nimeambiwa mimi sio mtanzania

Kwann wanasema sio raia wakat umewasilisha viambatanisho vyote halali?
 
Walisema ni raia wa nchi gani? Walithibitishaje kwamba wewe ni mhutu?
Au unautwa Twagurayezu Binamu
u
Kwann wanasema sio raia wakat umewasilisha viambatanisho vyote halali?
Anaitwa Twagurayezu Binamungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…