Nsumba ntale tz
JF-Expert Member
- Apr 19, 2016
- 713
- 762
Kudai haki yako hakumzuii mwajiri kutokukuongezea mkataba, unapodai haki yako unatakiwa uwe makini sana hasa kama hauna mkataba wa kudumu maana kama una mkataba wa mda mfupi hayo ndio majanga yakeHeri ya mwaka mpya wadau,!! Mimi na mwenzangu Tumepoteza kazi baada ya kudai haki na stahiki zetu zilizokuwa zinabinywa na mwajiri, baada ya kufatilia sheria zinasemaje katika misingi ya kisheria na mwajiri wetu kuamriwa kurekebisha.
Mwajiri hakufanya hivyo Bali akasubiri mwisho wa mkataba akatupa barua za kumalizika kwa mkataba.
Je, wajuzi wa sheria ni namna gani sheria zinatulinda kwa namna yoyote kupoteza kwetu kazi kwa kudai haki zetu? Naombeni msaada
Mkuu, pamoja na yote mwajiri alipewa barua ya kutopunguza au kufukuza wafanyakazi kutokana kitendo Cha wafanyakazi kudai haki zetuKudai haki yako hakumzuii mwajiri kutokukuongezea mkataba, unapodai haki yako unatakiwa uwe makini sana hasa kama hauna mkataba wa kudumu maana kama una mkataba wa mda mfupi hayo ndio majanga yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok mkuu nimekupatampelekeni mwajiri wenu mliko dai haki zenu mara ya kwanza simple tu sio kila kitu unauliza uliza tu kama mjinga
AhsanteMnajitiaga ujuaj kwenye makampuni ya watu sheria mnazijua sa mjiajir jaman na ujuaj wenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo hata zile order za serikali hazina nguvu yoyote??Hapo Brother imekula kwako.
ZIna nguvu ila biashara ngumu kampuni imeamua kupunguza watu kitu ambacho sio kosa kisheriKwahiyo hata zile order za serikali hazina nguvu yoyote??
Kisheria atasaidiwa apate stahiki zake zoteHadi sasa hivi sijaona mwenye hoja za kisheria kwa lengo la kukusaidia ila wanajibu kwa mihemko yao tu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kwenye kupunguza watu si lazima Kuna taratibu kisheria uwa zinatumika?? Kwanini sisi na siyo wengine??ZIna nguvu ila biashara ngumu kampuni imeamua kupunguza watu kitu ambacho sio kosa kisheri
Tulienda wafanyakazi wote, ila kadri siku zilivyokuwa zinazidi kwenda tulibaki wachache. Ahsante kwa ushauri mkuuKama chanzo ni nyie kufuatilia sheria mkafukuzwa, basi fuatilien tena sheria hukohuko kwa mwanzo mtarudishwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa namna nilivyomuelewa mimi ishu ilikuwa kuendelea na kibarua kuhusu stahiki hajazungumzia but huyu @ tycoonff amekaribia kunishawishi kwakuwa ni kampuni ya watu na sio serikali.Kisheria atasaidiwa apate stahiki zake zote