impongo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 8,764
- 7,758
Mkataba ukiisha mwajiri una hiari ya kumuongezea mkataba au kutomuongezea mkataba mwajiriwa hakuna sheria inayomfunga mwajiriwa kukuongezea mkataba hata Kama wewe ni mgogo kazini.kumbuka amasemea mwajir alipewa barua asiwafikuze kisa kudai haki zao hapo mazingira yanambana mwajir bora angemwongezea mkataba then ukiisha Ndo amfire
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza huyu jamaa anaonekana mkorofi ingekuwa Mimi ningemlipa stahiki zake zote nikavunja mkataba stakagi usumbufu umeomba kazi vizuri kwa heshima kesho unaanza kuleta kero eti watu wagome
Sent using Jamii Forums mobile app