Msaada: Tumepoteza kazi baada ya kudai haki zetu

Heri ya mwaka mpya wadau,!! Mimi na mwenzangu Tumepoteza kazi baada ya kudai haki na stahiki zetu zilizokuwa zinabinywa na mwajiri, baada ya kufatilia sheria zinasemaje katika misingi ya kisheria na mwajiri wetu kuamriwa kurekebisha.

Mwajiri hakufanya hivyo Bali akasubiri mwisho wa mkataba akatupa barua za kumalizika kwa mkataba.

Je, wajuzi wa sheria ni namna gani sheria zinatulinda kwa namna yoyote kupoteza kwetu kazi kwa kudai haki zetu? Naombeni msaada

Unajitia mjuaji kwenye kampuni ya mtu.. Sasa nenda ukaajiriwe na hiyo sheria iliyokutia ujuaji..!! Ujifunze, next time uwe na adabu..
 
Swala Sio kampun ya Wat sheria za utumish zinagusa kote kote Huwez mwachisha mt kaz all over suddenly lazma umwandalie stahik zake pia umpe taarifa mapema ili ajiandae wewe wapeleke ulipowapeleka mwazo state vizur
Kwa namna nilivyomuelewa mimi ishu ilikuwa kuendelea na kibarua kuhusu stahiki hajazungumzia but huyu @ tycoonff amekaribia kunishawishi kwakuwa ni kampuni ya watu na sio serikali.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, pamoja na yote mwajiri alipewa barua ya kutopunguza au kufukuza wafanyakazi kutokana kitendo Cha wafanyakazi kudai haki zetu

Sidhani kama ni kweli!

Yaani umlazimishe Mwajiri asifukuze mtu?Tangu lini?

Kama hana hela?Retrenchment is inevitable!

Haki ipo ila retrenchment pia ipo,maana the bottomline ni jee operations zinaweza kulipa?

Na pia uwepo wenu unawezakua detrimental to the company existence!

Akiprove kua nyie ni threat to his company ana haki ya kiwafutilia mbali!
 
Swala Sio kampun ya Wat sheria za utumish zinagusa kote kote Huwez mwachisha mt kaz all over suddenly lazma umwandalie stahik zake pia umpe taarifa mapema ili ajiandae wewe wapeleke ulipowapeleka mwazo state vizur

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa ushauri juu yake, pia na sisi tunajifunza kupitia makosa... Good explainations.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swala Sio kampun ya Wat sheria za utumish zinagusa kote kote Huwez mwachisha mt kaz all over suddenly lazma umwandalie stahik zake pia umpe taarifa mapema ili ajiandae wewe wapeleke ulipowapeleka mwazo state vizur

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekupata mkuu!! Nitafanya hivyo. Na bahati nzuri Kati barua alizopewa aliambiwa kusiwepo na mabadiliko yoyote kwa wafanyakazi wote ya kupunguza au kufukuza wafanyakazi baada ya kuahidi kufanyia kazi malamiko yote katika mikataba mipya January.
 
Hadi sasa hivi sijaona mwenye hoja za kisheria kwa lengo la kukusaidia ila wanajibu kwa mihemko yao tu...

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa hakuna msaada wowote maana mkataba umeisha mwajiri ana hiari ya kumuongezea mkataba au kustisha hapa hafungwi na upande wowote labda Kama ana madai ana hoja lakini kuendelea hakupo na mjuaji Kama huyu hata Mimi namtimua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekupata mkuu!! Nitafanya hivyo. Na bahati nzuri Kati barua alizopewa aliambiwa kusiwepo na mabadiliko yoyote kwa wafanyakazi wote ya kupunguza au kufukuza wafanyakazi baada ya kuahidi kufanyia kazi malamiko yote katika mikataba mipya January.
Case yako kama ipo hivyo ni very simple nenda bila kuogopa sema kwanzia mwanzo mambo yalivyokuwa Mpka mnafukuzwa simamia hak yako bro no one will stand for you. Unajua mt anaweza ona simple coz haijamtokea but unakuta mt unategemewa na unafukuzwa kaz gafla shuka nae jumla jumla hakuna KS mwajir wala mafi apaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poleni sana. Fuateni sheria.

Huu ndio mfumo wa sasa bila shaka,
Hata wabunge wa mikoa ya kusini kidogo wangepoteza ubunge wao kwa kutaka kutetea mapato ya korosho.
 
Sidhani kama ni kweli!

Yaani umlazimishe Mwajiri asifukuze mtu?Tangu lini?

Kama hana hela?Retrenchment is inevitable!

Haki ipo ila retrenchment pia ipo,maana the bottomline ni jee operations zinaweza kulipa?

Na pia uwepo wenu unawezakua detrimental to the company existence!

Akiprove kua nyie ni threat to his company ana haki ya kiwafutilia mbali!
Ndiyo maana nimekuja kwenu mtupe mwanga
 
Hapa hakuna msaada wowote maana mkataba umeisha mwajiri ana hiari ya kumuongezea mkataba au kustisha hapa hafungwi na upande wowote labda Kama ana madai ana hoja lakini kuendelea hakupo na mjuaji Kama huyu hata Mimi namtimua.

Sent using Jamii Forums mobile app
kumbuka amasemea mwajir alipewa barua asiwafikuze kisa kudai haki zao hapo mazingira yanambana mwajir bora angemwongezea mkataba then ukiisha Ndo amfire

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Case yako kama ipo hivyo ni very simple nenda bila kuogopa sema kwanzia mwanzo mambo yalivyokuwa Mpka mnafukuzwa simamia hak yako bro no one will stand for you. Unajua mt anaweza ona simple coz haijamtokea but unakuta mt unategemewa na unafukuzwa kaz gafla shuka nae jumla jumla hakuna KS mwajir wala mafi apaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ok sawa na bahati nzuri nakala ya barua zote tunazo!!
 
Na kwenye kupunguza watu si lazima Kuna taratibu kisheria uwa zinatumika?? Kwanini sisi na siyo wengine??
Mkataba wako umeisha kwa hiyo mwajiri ana hiari kutokupa mkataba au kukupa mkataba chochote anacho amua hakimfungi na lazima aangalie ufanis na utendaji Bora watu Kama wewe ni migogoro tu ya kusababisha maandamano Kila mara nakusababisha utendaji kazini kuzorota hata Mimi siwezi kukuajiri mtu wa aina yako labda nisikufahamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekupata mkuu!! Nitafanya hivyo. Na bahati nzuri Kati barua alizopewa aliambiwa kusiwepo na mabadiliko yoyote kwa wafanyakazi wote ya kupunguza au kufukuza wafanyakazi baada ya kuahidi kufanyia kazi malamiko yote katika mikataba mipya January.

Na hapo kwenye mikataba mipya ndio anawakata hapohapo!

Alisubiria tu hapo mikataba inapoishia!

Ni haki yake kukataa ku-renew!

Sio kwamba zile haki zenu mnazodai hazipo,zipo!

Ila haki ya kuajiriwa tena ndio kashaichukua!

Kuleta ujuaji kwenye kampuni binafsi ni hatari sana,mi nadhani ukiona hapakufai ondoka tu tafuta pengine!

Kwend kuleta chokochoko na kuleta unrest kwenye kampuni ya mtu mpaka mwenye kampuni akakuchukia ni una mharibia kampuni yake!

Na ni lazima akukate tu uende na maisha yako.

Alikua anasubiri mkataba uishe,in no way ata-renew!No way!

Ila haki zako kama zipo utazipata sio tatizo,kuendelea kukaa hapo sahauni kabisa!
 
Heri ya mwaka mpya wadau,!! Mimi na mwenzangu Tumepoteza kazi baada ya kudai haki na stahiki zetu zilizokuwa zinabinywa na mwajiri, baada ya kufatilia sheria zinasemaje katika misingi ya kisheria na mwajiri wetu kuamriwa kurekebisha.

Mwajiri hakufanya hivyo Bali akasubiri mwisho wa mkataba akatupa barua za kumalizika kwa mkataba.

Je, wajuzi wa sheria ni namna gani sheria zinatulinda kwa namna yoyote kupoteza kwetu kazi kwa kudai haki zetu? Naombeni msaada
Hakuna tatizo hapo umekufa kwa ajili ya wengine,,ubarikiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom