Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,088
- 6,384
Heri ya mwaka mpya wadau,!! Mimi na mwenzangu Tumepoteza kazi baada ya kudai haki na stahiki zetu zilizokuwa zinabinywa na mwajiri, baada ya kufatilia sheria zinasemaje katika misingi ya kisheria na mwajiri wetu kuamriwa kurekebisha.
Mwajiri hakufanya hivyo Bali akasubiri mwisho wa mkataba akatupa barua za kumalizika kwa mkataba.
Je, wajuzi wa sheria ni namna gani sheria zinatulinda kwa namna yoyote kupoteza kwetu kazi kwa kudai haki zetu? Naombeni msaada
Mkuu, hakuna mtu anataka watu wasumbufu kazini kwake. Na kumchinja kobe yahitaji timing ndio maana kasubiri mkataba umeisha na hajakuongezea.
Hakuna sheria kavunja hapo.