Msaada: Tumepoteza kazi baada ya kudai haki zetu

Msaada: Tumepoteza kazi baada ya kudai haki zetu

Heri ya mwaka mpya wadau,!! Mimi na mwenzangu Tumepoteza kazi baada ya kudai haki na stahiki zetu zilizokuwa zinabinywa na mwajiri, baada ya kufatilia sheria zinasemaje katika misingi ya kisheria na mwajiri wetu kuamriwa kurekebisha.

Mwajiri hakufanya hivyo Bali akasubiri mwisho wa mkataba akatupa barua za kumalizika kwa mkataba.

Je, wajuzi wa sheria ni namna gani sheria zinatulinda kwa namna yoyote kupoteza kwetu kazi kwa kudai haki zetu? Naombeni msaada
Swali: unauhakika gani ulikuwa mtendaji bora ili uongezewe mkataba. ?

Na ni maamuzi yake juu ya kuwaongezea mkataba au la. Tuache mawazo mgando tupambane.
 
Swali: unauhakika gani ulikuwa mtendaji bora ili uongezewe mkataba. ?

Na ni maamuzi yake juu ya kuwaongezea mkataba au la. Tuache mawazo mgando tupambane.
Katika utendaji Bora nilikuwa namba moja kwa kuongoza miezi mitano mfululuzo kwa performance kulinganisha na wenzangu tuliokuwa nao idara moja
 
Mkuu, pamoja na yote mwajiri alipewa barua ya kutopunguza au kufukuza wafanyakazi kutokana kitendo Cha wafanyakazi kudai haki zetu
Na wewe ukajipa moyo kuwa bereshi halitapita?
Ngoja nikumegee siri ili siku nyingine usije ingia chakike..

Kama upo Afrika kamwe usiamini kupata haki katika nyanja yoyote... huko kwa wenzetu wamesotea kupata haki kwa mamia ya miaka na mpaa leo wapo wanaharakati wanatafuta haki.

Hitimisho: kama ulijipanga kiuchumi anza kufikiria kujiajiri ila kama utapenda kuajiriwa karibu tumalize soli za viatu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafsiri yako ya Ujinga sio ya kweli;Tulivyoambiwa tuna maadui watatu na wanasiasa umaskini,maradhi na ujinga!Kwa hiyo wewe ukaelewa ujinga ni kujifanya unajua kitu wrongly?

Sent using Jamii Forums mobile app
Habari ya maadui 3 sio msingi wa Hoja ya mtoa mada......usiikuze hii hoja ya Ujinga, Ipo simple tu....

Ndo nikasema vile unaamini mtu kujua jambo flani sio Ujinga, mtu anayeuliza ili ajue jambo flani ndiye mjinga haswa..........

Nikamwambia wapo watu wanaojifanya wanajua, kumbe wanachojua ni wrong info.....means wanajua uongo....! Linganisha na mtoa mada aliyeuliza na kutaka kujua....je nani Mjinga!

Kuuliza haijawahi na haitakua Ujinga, Ila ni kutaka kujua! Kinyume cha hilo ndo nafasi ya Mjinga inahusika...
kwa mfano kuuliza huulizi, unajifanya unajua, halafu kile unachojua sio sahihi (Huyu ndo Mjinga).

Always wale watu wanaojifanya Wajuaji, wale Vimbelembele....huwa ni Wajinga, they no nothing!
 
Swala Sio kampun ya Wat sheria za utumish zinagusa kote kote Huwez mwachisha mt kaz all over suddenly lazma umwandalie stahik zake pia umpe taarifa mapema ili ajiandae wewe wapeleke ulipowapeleka mwazo state vizur

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu si amesema ya kwamba mkataba umeisha?hajaachishwa oversuddenly, ingekuwa hivyo angeandikiwa barua ya kumuonyesha kwamba unapunguzwa kwa sababu na kupewa stahiki yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, pamoja na yote mwajiri alipewa barua ya kutopunguza au kufukuza wafanyakazi kutokana kitendo Cha wafanyakazi kudai haki zetu
Kwani kamfukuza mtu hapo, mkataba mlioingia umefika mwisho na sidhan kama kunasheria yoyote hapa Tz inayolazimisha kuingia mkataba mwingine na mfanyakaz aliyemaliza mkataba. Kuweni wapole tu mzee jaribuni kwenda kutafuta kazi sehemu zingine wanakotoa haki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heri ya mwaka mpya wadau,!! Mimi na mwenzangu Tumepoteza kazi baada ya kudai haki na stahiki zetu zilizokuwa zinabinywa na mwajiri, baada ya kufatilia sheria zinasemaje katika misingi ya kisheria na mwajiri wetu kuamriwa kurekebisha.

Mwajiri hakufanya hivyo Bali akasubiri mwisho wa mkataba akatupa barua za kumalizika kwa mkataba.

Je, wajuzi wa sheria ni namna gani sheria zinatulinda kwa namna yoyote kupoteza kwetu kazi kwa kudai haki zetu? Naombeni msaada
Sasa mkataba umeisha utamshtaki kwa kosa gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom