Hapo hakuna suala la kisheria sababu amesema mkataba umekwisha na mwajiri ameamua kutomuongezea,sidhan kama kuna Sheria inayomlazimisha muajiri kumpa MTU mkataba,sababu yy ndiye anayelipa mishahara kama bajet yake imeshake mtamsaidia kulipa?? Kama hajaridhika na utendaji wao WA kazi mnamlazimisha Vipi akae nao?? Kinachodetermine MTU kuendelea kukaa kampuni fulani ukiachilia mbali performance pia nidhamu na tabia (attitude),suala la kusema mmempeleka mwajiri wenu kwenye mamlaka husika inaonesha tayari mlishindwa kuelewana ndani,hakuna mwajiri anayependa kukaa na wanaharakati ,hata we nyumbani kwako sidhan kama unaweza kukaa na mke au mtoto mwanaharakati,ukimpiga kiboko anaenda polisi kushtaki umekiuka haki za watoto,cha msingi mjitafakar namna gani mlipaswa kufuata kudai haki zenu in a win win situation
Sent using
Jamii Forums mobile app