Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hahahah jamaa kawanyoosha, hii ni sawa na chuoni ukijifanya mjuaji ukagombana na management ya chuo hawakusemeshi, wanakutumia mwalimu mmoja tu kimya kimya anakuvizia end of semester anakunyonga na Sapu. Ukienda kusapua anakutia tena nyavuni hahah una carry over anakufagia tena, unajikuta mwisho wa siku unarudia semester ama una disco bila umbeya yani.Mnajitiaga ujuaj kwenye makampuni ya watu sheria mnazijua sa mjiajir jaman na ujuaj wenu
Sent using Jamii Forums mobile app