Jamaa Kashindwa Timing.Mkuu, hakuna mtu anataka watu wasumbufu kazini kwake. Na kumchinja kobe yahitaji timing ndio maana kasubiri mkataba umeisha na hajakuongezea.
Hakuna sheria kavunja hapo.
Acha kumpotosha Bure mwenzio.Hebu tafuta mwanasheria yoyote anaweza kukupa msaada wa kisheria from a to z then ujue uanzie wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kitu kinaitwa Termination benefit , anapaswa kulipwa kuvunja mkatabaKwa kuwa mkataba umeisha sidhani kama kuna hatua yoyote unaweza kuchukua. Labda utafute tu kazi sehem nyingine.
Akili za DEO KISANDU hizi[emoji23] [emoji23] [emoji41] [emoji115]Katika utendaji Bora nilikuwa namba moja kwa kuongoza miezi mitano mfululuzo kwa performance kulinganisha na wenzangu tuliokuwa nao idara moja
Wale mkataba ukipewa wa kwanza basi wa pili ni nadra sana, Tanroad Mizani lakini wale wa halmashauri fresh tuu
Utendaji bora Sio kigezo cha Kuendelea Kuwepo Ofsini kwake.Katika utendaji Bora nilikuwa namba moja kwa kuongoza miezi mitano mfululuzo kwa performance kulinganisha na wenzangu tuliokuwa nao idara moja
Kama hizo stahiki zipo kwenye maandishi/mkataba nadhani ni kutafuta wakili na kufungua kesi au la ni kupitia chombo kinachisimamia stahiki za wafanyakazi(Sijui kama kipo).Bradha hicho ndo ninachokitaka mkuu uwezekano upoje was kupata hizo stahiki zetu??
Sisi wote ni watz.
Haki atapata kaka, Mimi nipo kampuni binafsi kuna kesi kama hizo nyingi tuu, watu wanapata haki....Sisi wote ni watz.
Tunajuana.
Tofautiaha haki kwenye developed country na huku kajamba nani
HahahahahahaHahahah jamaa kawanyoosha, hii ni sawa na chuoni ukijifanya mjuaji ukagombana na management ya chuo hawakusemeshi, wanakutumia mwalimu mmoja tu kimya kimya anakuvizia end of semester anakunyonga na Sapu. Ukienda kusapua anakutia tena nyavuni hahah una carry over anakufagia tena, unajikuta mwisho wa siku unarudia semester ama una disco bila umbeya yani.
Pambana nam Aisha yako tu hii kujifanya mwanahafakat jnayfyekqaHahahah jamaa kawanyoosha, hii ni sawa na chuoni ukijifanya mjuaji ukagombana na management ya chuo hawakusemeshi, wanakutumia mwalimu mmoja tu kimya kimya anakuvizia end of semester anakunyonga na Sapu. Ukienda kusapua anakutia tena nyavuni hahah una carry over anakufagia tena, unajikuta mwisho wa siku unarudia semester ama una disco bila umbeya yani.
Mkataba haujavunjwa, Mkataba Umeisha.Kuna kitu kinaitwa Termination benefit , anapaswa kulipwa kuvunja mkataba
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi nchi zetu za Ulimwengu wa 3,Sisi wote ni watz.
Tunajuana.
Tofautiaha haki kwenye developed country na huku kajamba nani
Kiongozi hujui tu mleta mada kipindi anachopitia,kwa kipindi hiki hakuna kitu kibaya kama kupoteza ajira,maana kuipata ajira ni shuguli pevu na hela hakunampelekeni mwajiri wenu mliko dai haki zenu mara ya kwanza simple tu sio kila kitu unauliza uliza tu kama mjinga
Ni mpaka hicho kipengele kiwemo kwenye Mkataba wako at the first day unaajiriwa.Hahaha hapana kaka,
Mfano Mimi nipo kampuni binafsi na mikataba yetu ni mwaka mmoja mmoja , ila kila December tunalipwa salary mara mbili na wanaita Termination
Sent using Jamii Forums mobile app