Msaada!!. Tuna mtoto wa miezi minne, unfortunately imenasa.

pole sana mkuu!hyo hali ilinikuta na mie! Dk akaniambia nimnyonyeshe mtot had miez 7 ya mimba na hakuna madhara! kimbembe sijui huwa inakuwaje! akizaliwa huyo wanakuwa wanaugua pamoja! yaan ni kazi !kuwa karibu na mkeo mpe sana matunda na mboga za majan awe na afya! mkiwakuza hao mtaona raha mnoo! mie wangu sasa hv nikienda nao mjini wanahis ni twins lol! kumbe kuna mkubwa na mdg!after tht pumziken!

goodluck
 
Mimi ni mmoja wa waliowahi pitia mtihani kama huo kwa mtoto wangu wa 2 kwenda wa 3,mtoto alinisumbua sana tena Sana'a maana alikua akiugua Mara kwa Mara ila hatukua na jinsi Bali kukabiliana na tulilo lifanya,hakuna jambo la bahati mbaya ila hutokea kwa sababu tunaamini limepagwa kutokea,jifungeni mkanda mlee mtoto na kijacho kwa bidii zote nafahamu mtapitia nyakati ngumu,mtasemwa sana na walimwengu lakini mwisho wa siku ushirikiano wenu ni muhimu mno katika makuzi ya viumbe hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aunty alipata mmoja January mwingine December, wameanza shule tarehe ya kuzaliwa mwalimu alifikiri wamekosea, mama aliambiwa apelike vyeti vya kuzaliwa, mwalimu ngachoka.
 


Acha kbs kumpotosha!hakuna uchafu wowote ule! ni mama akazane kula balanced diet bas! masuala ya machips achane nayo! hakuna uchafu wala usafi mkuu hizo ni stereotype tu za wabongo!... MIE dk alisema km nna maziwa meng akizaliwa huyo nimnyonyeshe na huyu mkubwa ! na kweli nikawa nafanya hvyo akililia sana kunyonya ! wana afya nzuri sana tu! ni mama kula vyakula bora basi!
 
Tatizo hapa mwenzangu anasononeka sana, nimerudi home around saa 2 usiku huu naona mtu kaingia chumbani wakati najiandaa kuingia bafuni ghafla mtu anapigamagoti analia huku ananionyesha kipimo daah, nikachukulia kawaida nikamwambia relax tupange tufanyeje, hanielewi anasema mimi ndio nimesababisha na ninarohongumu sana isiyo ya kibinadamu kwa jinsi ninavyo chukulia kawaida hiliswala.

Nahisi inaweza ikamsumbua sana, kwa mawazo, hana raha kabisa ndio mana nawaza labda nitafute kidonge nii blowout.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aunty alipata mmoja January mwingine December, wameanza shule tarehe ya kuzaliwa mwalimu alifikiri wamekosea, mama aliambiwa apelike vyeti vya kuzaliwa, mwalimu ngachoka.



haahaha inakera sana !hata mm sipend kbs wanavyuoniulizaga wanao mapacha!eish!
 


USIFANYE HVYO!
 

Kama mnaweza kwenda mapumziko asahau hiyo hali, pia washauri viongozi wa dini au wazazi waongee nae kama utashindwa. Ungechepuka angefurahi? Hii inaonyesha wewe ni mwaminifu kwa mke wako.
 
Hivi watu mnaozungumzia Condom ndani ya ndoa Mnadhani ni kitu chepesi eeh! Kwanza hata kukumbukwa huwa haikumbukwi kama ipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mnaweza kwenda mapumziko asahau hiyo hali, pia washauri viongozi wa dini au wazazi waongee nae kama utashindwa. Ungechepuka angefurahi? Hii inaonyesha wewe ni mwaminifu kwa mke wako.
Anasema anatamani aende kwao sababu mimi namsumbua kilamara napenda kumuomba unyumba.
Kuhusu uaminifu nikweli huwa sipendi kuzurura hovyo, namuheshimu, ilasasa naanza kujilaumu kwamba labda ningechepukatuu kutokana na lawama anazonijazia na kilio juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 


una yako tu! na ushakuja na jibu lakuitoa bas hapa unatuona tunakupigia kelele! kilala heri
 
Usijaribu kutoa hiyo mimba,
hilo ni swala la kawaida
mimba ya pili uwa inawahi
mimi ilinitokea,wala hatukuita bahati mbaya
ila tulitafuta ushauri wa kidaktari
ukiwaona hao watoto wetu utadhani mapacha.
wanapendeza,hivyo na wewe waone madaktari utavuka salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…