Msaada!!. Tuna mtoto wa miezi minne, unfortunately imenasa.

Pole sana inabidi mtafute mtu amshauri vizuri asa huko kwa dr dunia ya sasa mkiishi kuangalia watu watawafikiriaje hamtafika kabisa pia mshirikishe Mungu kwa imani yako
 
tuwe wawazi wanandoa kama una mtoto weka kitanzi au tumia condom tuhurumiane na kumhurumia kichanga kilichozaliwa pls
 
Njia ya kawaida, ila alipata tatizo la pressure na upungufu wa damu tukahangaika kidogo kuirudisha kawaida.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sikushauli utoe nitakua nimehusika kuuwa hichokiumbe, mtoto hawezikufa kama umemwachisha halaka kunhonha anapata maziwa vyakula juisi kwawakati na asilale na mamayake usiku mtoto kama anashibavizulihanashida.kuhusu mamayake anza nae saizi kuna matunda yapo spesho kwajili ya kuongeza damu juisi majani kilasiku asikose matunda kwanzia sasa ondoa wasiwasi ukifanhaivyo achana namaneno ya watakao ongea vibaya mtaani kwako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo mama kama atakuwa na mpango wa kuzaa inabidi aache kumnyonyesha mtoto mara moja Kwan maziwa yashaanza kuwa machafu lkn kama ni wanandoa kwa situation kama hiyo ni common sana ila utabid usikilize ushauri wa dk kwan ukiamua kutoa mimba kwa situation kama hiyo na isitoshe ni wanandoa hosptalini unaruhusiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu yangu hapo hakuna cha bahati mbaya coz wakati unasikilizi utamu mpaka ukakojolewa haikuwa bahati mbaya. Hivyo lea hicho kiumbe kwa sababu ukimtoa ujue umetuondolea mtu muhimu sana kwenye taifa hili
 
Mkuu wewe sio wa kwanza, wanandoa wapya mara nyingi hilo la 'mapacha' hutokea baina ya watoto wawili wa kwanza.
Mwoneni daktari kwa ushari na umtie moyo mkeo mzae tu, hakuna kosa, hatoa wala dhambi yoyote, ni sehemu ya kupata uzoefu.

Vv
 
Wala usiwaze mkuu, hao ni mapacha wa nje... Usiumize kichwa watu watakuchukuliaje... Tengenezeni furaha na mfarijiane nyinyi kwa nyinyi, muendelee na maisha yenu, yatapita na hapo kesho mtafurahi saaana....
 
Mkuu!!!

Acha kutoa hicho kiumbe kisicho na hatia
Mungu asije akakupiga bure

Kinachozaliwa kwa Roho ni Roho
Na kilichozaliwa na mwili ni mwili

Usifanye hivyo tafadhali


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Take simple!. Endelea kumnyonyesha hadi afunge kumi then anza kumpa maziwa. Pia mwanzishie maziwa rasmi alifunga saba ikiwezekana then na ziwa aache.
Uwe na upendo na mkeo ni wakati mgumu sana kwake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…