G777
JF-Expert Member
- Aug 1, 2020
- 227
- 604
Mimi inaniudhi mkwaruzo fulani nikiwasha gari mara kwanza asubuhi. Kama engine haina oil vile. Au timing chain sijajua solution yake.
Hata mimi imenisumbua kweli nilisafiri kwa mda mrefu nimekuja kuiwasha sisikii tena huo mkwaruzo nilikuwa nahisi labda ni starter ina shida lakini wapi.