Mbishi 4 real
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 640
- 651
Habari
Naomba kwa wenye uzoefu yeyote ambae kashawahi kujaza fomu ya mapunjo NSSF anisaidie kunijuza kama kuna mzunguko wowote wa nenda rudi au hiyo fomu ya mapunjo haina mambo mengi
Mana ile fomu ya madai kuna mambo ya kwenda mahakamani, kwa muajiri na bank kuchukua statement.
Sasa nataka nijue kama hiyo fomu ya mapunjo ina usumbufu kama unajaza fomu ya madai au hii ya mapunjo haina mambo mengi
Ahsante