Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 2,406
- 8,039
Za asubuhi wakuu,
Story inaanza mwaka jana kuna mdada mtaani kwetu nlimgea kizawadi Kidogo kama gia ya kumtongoza ila Baada ya hapo nlibadilisha mawazo, sikuendeleza mazoea nae, niliahirisha kumtongoza, sasa tangu siku hiyo nikilala namwota, unaweza sema namwota sababu nampenda Sana na kumtamani sana, la hasha kuna wadada nliwapenda na kuwatamani kuliko yeye Ila sikuwaona hata mara moja ndotoni kwangu, na kuna wadada nshawahi hadi kuwa nao kwenye mahusiano, lakini hata mara moja sijawahi kuwaona ndotoni.
Maana yake nini hii, kuna mtu asha-experienxe hii kitu? Yani tangu nizaliwe huyu mdada ni mtu wa tatu kutokea sana kwenye ndoto zangu, ukiacha baba na mama yangu, Hata rafiki zangu sijawahi waona ndotoni mara nyingi ivo,
Cha kushangaza in real life sijawahi hata mara moja kuwa na mazoea ya ku-spend mda mrefu nae, wala kupiga story nae.
Kuna watu washaexperience hiki kitu?, ndoto za hivi hua zina maana gani?