Bongo senior
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 757
- 1,526
Shukrani mkuu.Hakuna namna nyingine tofauti na hizo hapo juu ulizotaja
Hela gani tena hizo?Lipa hela za watu
Nadhani haujaelewa hata nilichoandika sema ujuaji mwingi.Mwambie hutaki akupigie, acha unafiki wa kujifanya hutaki huku unataka aendelee kusumbuka juu yako.
Ipi hyo mkuu embu nisaidie mana code nilizonazo nyingi ni zakuforwad na barring tu na nyngne zakuzuia smsIpo code moja ukiiweka ukipigiwa ukakata, itamwambia HAKIKISHA NAMBA UNAYOPIGA NA UJARIBU TENA, hiyo itakufaa
Ukweli ndo huo, mwambie asikutafute. Aassume kama umekufa.Nadhani haujaelewa hata nilichoandika sema ujuaji mwingi.
Na je kama unataka kuondoa hiyo?*67*25589………..#
Hapo kwenye namba hakikisha unaweka namba ambayo haipo
#67#Na je kama unataka kuondoa hiyo?