Msaada tutani kwa wajuzi

Msaada tutani kwa wajuzi

Bongo senior

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2015
Posts
757
Reaction score
1,526
Habarini za weekend hope mko poa na pole kwa wenye changamoto mbalimbali.

My point kwa wenye uelewa je kuna namna naweza kuzuia namba moja itakaponipigia apate taarifa kuwa sipatikani kwa muda huo ilihali nipo hewani a part from call forwarding au call barring au kumblock mana hii uwa inampa taarifa muhusika kuwa simu inatumika muda wote so ni rahisi kujua kama nimemblock, nitangulize shukrani.
 
Mwambie hutaki akupigie, acha unafiki wa kujifanya hutaki huku unataka aendelee kusumbuka juu yako.
 
Ipo code moja ukiiweka ukipigiwa ukakata, itamwambia HAKIKISHA NAMBA UNAYOPIGA NA UJARIBU TENA, hiyo itakufaa
 
Ipo code moja ukiiweka ukipigiwa ukakata, itamwambia HAKIKISHA NAMBA UNAYOPIGA NA UJARIBU TENA, hiyo itakufaa
Ipi hyo mkuu embu nisaidie mana code nilizonazo nyingi ni zakuforwad na barring tu na nyngne zakuzuia sms
 
Back
Top Bottom