mpasta
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 919
- 2,004
Niende moja kwa moja kwenye mada:
Ofisini kuna Pisi kali moja Mama SAMIA Intake(Ajira mpya), sasa kuna Workmate mmoja , bado hajaoa, kaanza kumfukuzia mdogo mdogo. Last week bana kapewa kadi ya mchango wa harusi na yule Pisi kali dadake anaolewa hivyo anaomba mchango, Singo elfu 70, Dabo 120.
Sasa jamaa kwa mbwembwe zake Jtatu akaomba akaunti namba ya CRDB ya Pisi kali ili amrushie kwa simu kwenye akaunti mchango elfu 70. Mambo ya mitandao tena karusha mara ya kwanza 70 ikaonyesha kama pesa haijafika kwa mlengwa.
Karudia tena kurusha, tahamaki karusha laki 1 na elfu 40, ina maana 70*2.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. PISI KALI haraka haraka kajibu text ndogo yenye kimombo "Thanks A lot Buddy, ubarikiwe, mzigo umefika"
Jamaa kutwa nzima kajiinamia tu hana raha, akicheki tarehe ndio kwanza tarehe 13/06 Mama SAMIA bado kabisa kutoa Salary na kumfuata Pisi kali kumwambia arudishe 70 ya ziada anahofia kujitoa kwenye ushindani wa NANI ZAIDI akalikosa Jimbo bure kwa kuonekana bahili....
Je atumie mbinu gani kuipata 70 yake maana ipo kwenye mahesabu yake ya bajeti ya mwezi huu..Tunaomba wakuu wa medani za kivita mtupe mbinu...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]