Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji28][emoji28]Kuhonga zaidi ya uwezo wako ni dhambi !!
[emoji16][emoji16]yani Mungu atuhurumieKama umejua vile mpaka anaanza kukilaumu, uchumba una nguvu ya ajabu sana
Vijana wasikuizi wajinga wanaogopa kuonekana wabahili yani hanashindwa kumwambia nirudishie pesa nimetumia kimakosaVikao vya wanaume mkiitwa hamtokei,, Shauri yenu..
Apige simu na amwambie kuwa nimekosea nimetuma mara mbili... Rudisha hio moja..
Nini kigumu hapo.???? anadhani akikausha ndio demu atamuona bingwa?? Shenzi..
Nakuhakikishia hio ndio Safari ya UMASIKINI imeanza,,, ni muda tu ndio utasema..
Vijana cheni UJINGA...
Be a Man, Stay Taliban
Vijana wa hovyo sanaVijana wasikuizi wajinga wanaogopa kuonekana wabahili yani anashindwa kumwambia nirudishie pesa nimetumia kimakosa
Hapo si aende double na pisi kwenye iyo partyNiende moja kwa moja kwenye mada:
Ofisini kuna Pisi kali moja Mama SAMIA Intake(Ajira mpya), sasa kuna Workmate mmoja , bado hajaoa, kaanza kumfukuzia
Sometimes inatakiwa uwe bandidu tu[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]ulitisha mwana
Nakubali mwambaHicho kifungu Cha mwisho umemalza kila kitu [emoji122][emoji122]
Kwenye ishu yoyote inayohusu mtonyo lazima uwe bandidu aiseeSafi sana , vijana tunapaswa kuwa na hizi guts
Mpaka sasa ni kwamba umeshachemka. Ilitakiwa palepale ulipogundua umekosea urudishe muamala au umuambie kirahisi tu "aisee si nimekosea nikatuma mara mbili, nirudishie hiyo iliyozidi." Simple!Niende moja kwa moja kwenye mada:
Ofisini kuna Pisi kali moja Mama SAMIA Intake(Ajira mpya), sasa kuna Workmate mmoja , bado hajaoa, kaanza kumfukuzia