Msaada tutani: Mbinu za kumdai Pisi kali pesa yako

Halafu mwisho wa picha mshkaji mwenyewe ndio wewe[emoji23]
 
Mkuu pesa usidai kaushia tu. Komaa mwezi unakaribia kuisha bado siku 10+ upokee salary yako tena🤣🤣🤣🤣. Na jimbo utalipewa very soon
 
Hicho kifungu Cha mwisho umemalza kila kitu [emoji122][emoji122]
 
Kuhonga zaidi ya uwezo wako ni dhambi !!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]DAAAH sio mimi bana, ila nimependa story yake alivyonisimulia nikaona nishee kwenye forum
Huyo ni wewe kabisaa si umelipia na ya kwake??
 
Jinsi wanawake wanavyojua wanastahili kupewa hapo wala haja-notice kama umerudia kutuma.😁!

Na utashangaa mshindani wako wala hajatoa na atalitwaa jimbo.

Kama hiyo 70K inakuuma,IOMBE! It has nothing to do na mbio za kusaka jimbo.

Huwajui wanawake wewe!!
 
[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Idadi ya wanaume wanaojiamini inazidi kupungua kila siku, yaani hela yako unashindwa kuidai ? Sina cha kushauri muambie achukue "salary advance" ale umasikini wake[emoji205]
[emoji28][emoji28]
 
Safi sana , vijana tunapaswa kuwa na hizi guts
 
Wanawake wanaheshimu sana Mwanaume mwenye msimamo na anayejitambua. Mfate mwambie ulikusudia kutuma 70 akurejeshee hiyo iliyozidi.

Isitoshe, ingelikuwa ni mimi huo mchango nisingetoa. Maana mwenye harusi sijuani naye, na hanihusu kwa chochote..
Imagine, Yaani hapo kazuga kuhusu Mchango wa harusi hela anaitaka Yeye [emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…