Msaada Tutani ..Naomba Mnishauri

Akiachwa utamuoa wewe...??
mwache abembeleze kinunanuna chake ndo raha ya mapenzi
Sawa,. Lakini kama angekuwa anasikia raha asingelalamika
Halafu mbona alishasema anataka kuvunja ndoa yake kwenye uzi wake uliopita
 
Sawa
 
Sawa,. Lakini kama angekuwa anasikia raha asingelalamika
Halafu mbona alishasema anataka kuvunja ndoa yake kwenye uzi wake uliopita
Muacheni atoke kwenye ndoa yake aje huku mtaani akutane na akina sisi madunga embe!..🤣
 
Kama wewe ni mwanamke ni wajibu wako kujishusha mbele ya mumewe na kumuheshimu, unapata wapi ujasiri wa kumchunguza, kumkaripia na kumuuliza maswali mumeo? Kama mahitaji yote anakupa, anakuhudumia hata apo unapokaa ni kwa mumeo kwanini useme umemchoka? Kama vipi rudi kwenu kuna wanawake kibao mumeo atawaoa ukishaondoka usijione special
 
Wakati ulipokuwa mdogo hujui chochote kuhusu maisha. Baba yako alikuhangaika kuhudumia masuala yote yaliokuhusu wewe ulipokuwa mdogo. Je ulishawahi kumchunguza au kumkaripia baba yako alipokukosea? Kama jibu ni hapana. Basi mumeo ni kama baba yako mzazi
 
NONSENSE ! Kwa akili Hizi mkeo Ana kazi sana
 

Maybe help me to understand,umesema ushamchoka si ndio?then unataka ushauriwe nini zaidi kama ushasema umemchoka?
Kama kuna Alternative ways ya kuishi na species ya Namna hii
 
Nina kipato Kizuri kabisa cha kuweza kujikim
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…