Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
Sawa,. Lakini kama angekuwa anasikia raha asingelalamikaAkiachwa utamuoa wewe...??
mwache abembeleze kinunanuna chake ndo raha ya mapenzi
Halafu mbona alishasema anataka kuvunja ndoa yake kwenye uzi wake uliopita