Msaada Tutani ..Naomba Mnishauri

Huwa mnakutana wapi nyie watu aisee.

Kama ukeshamwambia mara kibao na habadiliki basi acha kulalamika, furaha yako haitegemei uwepo wa mumeo kila siku.

Ukiacha kusumbua kuhusu tabia yake basi yeye mwenyewe atabadilika. Hizo lawama zako yeye anaona unampangia maisha.
 
..kama ulikuta used condoms, mheshimu sana huyo "my" wako, anajijali na anakujali sana!!
 
Una used condom Bado unatembes nae? Fala wewe utakufa km sio Ngoma kihoro una kinyaa wewe? Njooo inbox
 
Tatizo lao, hawatoi tendo kwa wakati
 
Una used condom Bado unatembes nae? Fala wewe utakufa km sio Ngoma kihoro una kinyaa wewe? Njooo inbox
Si amefanya safely, ina maana mumewe angekuwa Dr/surgeon angefanyaje?, maana wanapata occupational accidents nyingi za kupata maambukizi
 
Na hili ndo tatizo..
Na ukweli ni kuwa una SAUTI kuliko mumeo na haya uliyoandika hapa ni kwa sababu jamaa anapuuza amri zako.
Sasa Kama unakipato kizuri ACHANA NAE.
Wa aina hii ni kama jimbo au serikali isiyotawalika ukishindana nayo lazima upotee.
 
Je ni mtoto wa ngapi kwao? Wa kwanza au wa mwisho ndio zao.
Je kwao kuna wenzake wa kiume? Kama hamna, ndio hivyo.
Je akionywa na wakubwa zake ktk familia yao, hasa wazazi/walezi anasikia? Umewahi kuwashirikisha wakubwa zenu?
Note: Matatizo mengi ya ndoa zama hizi husababishwa na wazazi/walezi kudhani vijana wao wakioq/olewa wamemaliza kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…