Msaada Tutani ..Naomba Mnishauri

Msaada Tutani ..Naomba Mnishauri

Mrs Joho 001

Member
Joined
Aug 5, 2023
Posts
57
Reaction score
153
Habari , Hope mko poa

Twende directly kwenye Mada. Hivi wanawake Especially Mlioolewa Mnaweza Vipi Kuishi na Mwanaume anayependa Kununa nuna ?

Binafsi Nimechoka sasa Mume wangu ni ile aina ya watu awe amefanya Kosa yeye au nimekosea mimi yeye solution ni Kununa. Au hii ni kawaida Kwa wanaume wote ?
Mimi Jukumu langu kila Kukiwa na ugomvi/ matatizo baina yetu Mimi Ndio huanza kutaka Yaishe Hata Kama yeye Ndio amenikosea . Kuna siku Nilikuta Condom zilizotumika kwenye gari nikamuuliza akasema et alimuazima gari Rafiki ake atumie so yeye hajui chochote . Nilipotaka maelezo ya kina maana Naona ananidanganya Et akaninunia Kwa Kua simuamini. Hiyo ni Sawa kweli ?

Kiukweli Nishamchoka Sanaa,kwanza sio muaminifu, Pili Ana play victim akati makosa ni yake anataka yeye Ndio ambembelezwe Kwa makosa yake . Niishi nae vp sasa Maana Nimechoka Mno .
 
Acha kumuigizia,. Akikukosea mwambie ukweli amekosea na onyesha action kuwa umekereka na ajue kabisa umechukia,. Kwani akikununia wewe wapi huwa panakuuma?.

Achana na habari za udesperate eti amekosea yeye uombe msamaha wewe, hayo sio mahaba ni upumbavu.,.

Anyways ngoja waliioa na kuolewa waje wakupe muongozo
 
Habari , Hope mko poa

Twende directly kwenye Mada. Hivi wanawake Especially Mlioolewa Mnaweza Vipi Kuishi na Mwanaume anayependa Kununa nuna ?

Binafsi Nimechoka sasa Mume wangu ni ile aina ya watu awe amefanya Kosa yeye au nimekosea mimi yeye solution ni Kununa. Au hii ni kawaida Kwa wanaume wote ?
Mimi Jukumu langu kila Kukiwa na ugomvi/ matatizo baina yetu Mimi Ndio huanza kutaka Yaishe Hata Kama yeye Ndio amenikosea . Kuna siku Nilikuta Condom zilizotumika kwenye gari nikamuuliza akasema et alimuazima gari Rafiki ake atumie so yeye hajui chochote . Nilipotaka maelezo ya kina maana Naona ananidanganya Et akaninunia Kwa Kua simuamini. Hiyo ni Sawa kweli ?

Kiukweli Nishamchoka Sanaa,kwanza sio muaminifu, Pili Ana play victim akati makosa ni yake anataka yeye Ndio ambembelezwe Kwa makosa yake . Niishi nae vp sasa Maana Nimechoka Mno .
Kavunje ndoa, tabu ya Nini.. kwani mlizaliwa tumbo moja
 
Kiukweli Nishamchoka Sanaa,kwanza sio muaminifu, Pili Ana play victim akati makosa ni yake anataka yeye Ndio ambembelezwe Kwa makosa yake . Niishi nae vp sasa Maana Nimechoka Mno .
….play the victim..

Pole sana. Tafuta muda uongee naye kuhusu hiyo tabia. Ikishindikana, get out while you still can.
 
Habari , Hope mko poa

Twende directly kwenye Mada. Hivi wanawake Especially Mlioolewa Mnaweza Vipi Kuishi na Mwanaume anayependa Kununa nuna ?

Binafsi Nimechoka sasa Mume wangu ni ile aina ya watu awe amefanya Kosa yeye au nimekosea mimi yeye solution ni Kununa. Au hii ni kawaida Kwa wanaume wote ?
Mimi Jukumu langu kila Kukiwa na ugomvi/ matatizo baina yetu Mimi Ndio huanza kutaka Yaishe Hata Kama yeye Ndio amenikosea . Kuna siku Nilikuta Condom zilizotumika kwenye gari nikamuuliza akasema et alimuazima gari Rafiki ake atumie so yeye hajui chochote . Nilipotaka maelezo ya kina maana Naona ananidanganya Et akaninunia Kwa Kua simuamini. Hiyo ni Sawa kweli ?

Kiukweli Nishamchoka Sanaa,kwanza sio muaminifu, Pili Ana play victim akati makosa ni yake anataka yeye Ndio ambembelezwe Kwa makosa yake . Niishi nae vp sasa Maana Nimechoka Mno .
Sikia kama anazingua achana nae lkn kama ndyo tegemezi lako komaa nae hvyo hvyo
 
Back
Top Bottom