Mrs Joho 001
Member
- Aug 5, 2023
- 57
- 153
Habari , Hope mko poa
Twende directly kwenye Mada. Hivi wanawake Especially Mlioolewa Mnaweza Vipi Kuishi na Mwanaume anayependa Kununa nuna ?
Binafsi Nimechoka sasa Mume wangu ni ile aina ya watu awe amefanya Kosa yeye au nimekosea mimi yeye solution ni Kununa. Au hii ni kawaida Kwa wanaume wote ?
Mimi Jukumu langu kila Kukiwa na ugomvi/ matatizo baina yetu Mimi Ndio huanza kutaka Yaishe Hata Kama yeye Ndio amenikosea . Kuna siku Nilikuta Condom zilizotumika kwenye gari nikamuuliza akasema et alimuazima gari Rafiki ake atumie so yeye hajui chochote . Nilipotaka maelezo ya kina maana Naona ananidanganya Et akaninunia Kwa Kua simuamini. Hiyo ni Sawa kweli ?
Kiukweli Nishamchoka Sanaa,kwanza sio muaminifu, Pili Ana play victim akati makosa ni yake anataka yeye Ndio ambembelezwe Kwa makosa yake . Niishi nae vp sasa Maana Nimechoka Mno .