Msaada tutani, nina gari yangu aina ya Noah sr40 je nije/niende mkoa gani nikafanyie kazi ya kubeba angalau abiria?

Kuna kipindi jamaa yangu aliniambia wakati wa mavuno nipeleke gari kilwa huko kuna hela, ila sijawahi jaribu, labsa wenye uzoefu waseme
 
Nenda kabadirishe mfumo wa fuel, badala ya kutumia mafuta kafunge mfumo wa Gas.

Baada ya hapo nenda ukaisajili iwe Uber/Bolts kwa Mikoa ya Dsm ama Arusha.

Ukifanya kazi kwa bidii utakuwa na miezi 18 hivi utakuwa umerejesha hela yako yote huku gari ikiendelea kuwa na muonekano wa kutochoka.

Maana huko Mikoani hali ya barabara sio nzuri kabisa Mkuu
 
Nashukuru sana kwa mchango wako mkuu.
 
Back
Top Bottom