desmond3076
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 279
- 184
Hiyo brand ni product dhaifu tangu enzi za uchogo.
Unashindwa nini kununua brand imara na za kueleweka?
Mbona hata LG ipo hivyo hivyo...nasikia Kuna kifaa kinatakiwa kibadirishwe cha mwanga..hapo andaa kama laki moja kutatua tatizohizo TV Nakumbuka zilikuwa zina soko sana miaka ya 2010,
ni za kichina, kwa makadirio bidhaa za kichina huwa zina maisha mafupi, kwa sasa itakuwa imeshachoka,
Nunua TV nyingine ama jaribu kwa fundi mwengine.
Muone fundi wa TV na sio tu fundi unapatikana wapi namaanisha mkoa Gani?Inaonyesha after five minutes inazima ghafla na kujiweka katika standby mode, naomba msaada shida ni nini?
Zoezi hili limekuwa endelevu, nikiizima wiki nzima inaweza onyesha vizuri kama Haina shida, nilimuita fundi ikamshinda, shida ni nini?
Naomba msaada nafahamu wanajamvi mnaweza nipa ushauri just ushauri
Duhh.. tv yenyewe ya 25" bei gani?Mbona hata LG ipo hivyo hivyo...nasikia Kuna kifaa kinatakiwa kibadirishwe cha mwanga..hapo andaa kama laki moja kutatua tatizo
LG ina umarufu Dunia nzima ni rahisi hata kujua tatizo kwa kugoogle maana watumiaji ni wengi na Mafundi nao wamezizoea, ni tofauti na hizo singsung itabidi upate fundi mzoefu anaeweza kurekebisha hata kifaa chenye shida bila kuweka spare maana kupata spare za hio TV ni mtihani.Mbona hata LG ipo hivyo hivyo...nasikia Kuna kifaa kinatakiwa kibadirishwe cha mwanga..hapo andaa kama laki moja kutatua tatizo