The Tomorrow People
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 2,675
- 2,807
Gari nyingi za be forward siyo mbovu ila watakuuzia gari kutokana na hali halisi ilivyo. Kama ni mbovu ni lazima utaonyeshwa ila kama ukiridhika basi ukinunua huwezi kulaumu be forward tena.
Mimi nilinunua kwao Suzuki Carry its was my first time lakini gari ilifika kama nilivyoiona kwenye mtandao.
Cha msingi hasa kama unataka saloon cars basi ukitafuta utaipata. Kingine na cha msingi unatakiwa kabla hujaamua kufanya maamuzi uwe na picha ya gari katika angle zote ili uweze kutoa maamuzi sahihi.
Kwa maelezo zaidi ni inbox tutawasiliana.
Rahisi ni aghali,
hizo kampuni zina Siri kubwa ila wa bongo uelewa mdogo,
Vipi kuhusu kampuni ya autocom jp? Aliewahi kufanya nao biashara anipe ujuz
Autocom still ni kampuni mpya ambayo inajenga jina, Niko na rafiki zangu wamenunua Gari huko, and so far it's the best kuanzia wafanyakazi mpaka kupata Gari Yako, wajaribishe, 📞 0767328063 au tembelea office zao @ Quality Center, uliza jamaa anaitwa Msuya.
Mkuu kutoka mwezi Mei 2015 huduma ya PayTrade ni bure, hivyo jamaa atakaguliwa gari lake na kupewa assurance mpaka linapofika na kukabidhiwa akiwa ameridhik nalo. Pia jamaa wameboresha site yao ambapo now CIF price ipo moja kwa moja ingawa mnunuzi bado amepewa nafasi ya kunegotiate na muuzaji kuhusu kupunguziwa bei tofauti na beforward ambako bei iliyopo ndio hiyohiyo unayotakiwa kulipa The Tomorrow People acheki CARVIEW corporation aone bei zao, akiridhika anunue hapo piahabari yako,
mimi kama mmoja ya watu niliyewahi kuagiza magari marakadhaa, nimepata pia kusikia malalamiko marakadhaa kutoka kwa mawakala kuwa magari mengi ya BFOWARD yanakuja yakiwa sio sawa. ingawa watu wengine huchukua tu.
Nakushauri utumie TRADECARVIEW kwani hawa wanakitengo ambacho watakagua gari yako kabla hujatuma na kukupa feedback kuwa iko poa au lah. ingawa utalipia kama $150 kwa huduma hii. TRADECAR VIEW sio maagent wa kuuza magari wao wanasimamia, wanakuunganisha na muuzaji kisha wanasimamia mpaka gari yako unaipata na hata malipo ukilipa huwa wanakaaa na hela zako mpaka umepata gari yako kisha ndo wanamlipa muuzaji. otherwise wanakurudishia hela yako.
Mkuu kutoka mwezi Mei 2015 huduma ya PayTrade ni bure, hivyo jamaa atakaguliwa gari lake na kupewa assurance mpaka linapofika na kukabidhiwa akiwa ameridhik nalo. Pia jamaa wameboresha site yao ambapo now CIF price ipo moja kwa moja ingawa mnunuzi bado amepewa nafasi ya kunegotiate na muuzaji kuhusu kupunguziwa bei tofauti na beforward ambako bei iliyopo ndio hiyohiyo unayotakiwa kulipa The Tomorrow People acheki CARVIEW corporation aone bei zao, akiridhika anunue hapo pia
Mkuu kutoka mwezi Mei 2015 huduma ya PayTrade ni bure, hivyo jamaa atakaguliwa gari lake na kupewa assurance mpaka linapofika na kukabidhiwa akiwa ameridhik nalo. Pia jamaa wameboresha site yao ambapo now CIF price ipo moja kwa moja ingawa mnunuzi bado amepewa nafasi ya kunegotiate na muuzaji kuhusu kupunguziwa bei tofauti na beforward ambako bei iliyopo ndio hiyohiyo unayotakiwa kulipa The Tomorrow People acheki CARVIEW corporation aone bei zao, akiridhika anunue hapo pia
Nimejaribu kuangalia hii kampuni. Kwa ujumla magari yake mengi yametembea km nyingi sana mengi kuanzia km130000-270000. Hivyo ni vizuri kufanya market survey vizuri..