Msaada: Ugonjwa huu unaitwaje? Unatibika kwa dawa gan?

Ibuprofen? Hahaha aisee hii elimu inawapoteza sana uko serious? Nyie wasomi ni wajinga sana
 
Akaoge maji ya bahari, ile chumvichumvi atapona
 
Hii ni pain killer mkuu lakin tambua hivo vidude ni infection ya wadudu
Ndio maana nikamwambia kama kumpunguzia maumivu kwanza
Ila wakati unajibu post jaribu kuwa na stara kwa wengine maana wengine hatuwezi kutukana kabisa
Jioni njema na ninatumaini alisikia ushauri wangu kwanza tiba baadae
 
Sawa mkuu ila hii elimu ina utapel mwingi sana yani mtoto wa form four anamtafta mtu amuungie account ya what's up au ya fb da! Huwa nachoka sana
 
Ukosefu wa vitamin C huo !

Vipi ulimpeleka hospitali wanasemaje??

Mungu amsaidie apone haraka

Cc Smart911
 
Mpeleke hospital, atapata matibabu na atakuwa salama kabisa..usipanic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ