DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Ni vema kama ungetuma majibu Maana kuishiwa damu siku hiyo hiyo haiwezi kuwa Parasitic Infection wala any infestation kama wengi wanavyodhani kuwa ni Nutrients deffiecient...Kuna dada alijifungua mtoto miezi mitano iliyo pita sasa ameshikwa na ugonjwa wa kupungukiwa damu sana kila akienda hospital anaingezewa damu lakini siku iyoiyo inakeisha tena na madaktari wamempima kila kitu haonekani na tatizo lolote sasa kwann damu inakauka tu??
Haileti picha Ya Anaemia ya kawaida...
Anaemia yenye mlengo huo mara nyingi huwa ni
- Leukemia
- Internal Haemorrhage
- Sickler case (Sickle cells Anaemia)
- FBP/WBC
- Bone marrow aspirate(kama walifanya biopsy) tuone structure na maturity ya blood cells