BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
Labda ajaribu hizo aone matokeo zikigonga mwamba arudi hapa kuleta mrejesho,BBE ( Descriptions. Benzyl benzoate is used to treat lice and scabies infestations. This medicine is believed to be absorbed by the lice and mites and to destroy them )
Note: Both BBE na Scaboma treats scabies
Hao ni makasuku.Mzee usidharau taaluma za watu wamesomeshwa kwa Kodi za Wananchi
KabisaLabda ajaribu hizo aone matokeo zikigonga mwamba arudi hapa kuleta mrejesho,
Mzee una leseni ya udaktari lakini?Na hayo MAPELE wakati mwingine yanaashiria uwepo wa PARASITES kwenye UTUMBO au TUMBONI.
MINYOO inatema SUMU ambazo zinasababisha REACTION YA MWILI kwa mfumo wa MAPELE.
MINYOO na MICROSCOPIC PARASITES, wamejishikiza huko kwenye MATUMBO wanatema UCHAFU na TOXINS.
UTAPAKA SANA MADAWA YA NGOZI unawatajirisha FAMASI kumbe mwanao ananyongorotwa na MAMINYOO huko ndani kwenye MIFUMO.
Hii ndio SAYANSI YA KWELI, sio SAYANSI YA UDALALI WA MACHANJO NA MADAWA UCHWARA.
😂😂😂 Punguza hizo basi wewe mboni unatoa ushauri wa kidaktari na hatusemi hivyoHao ni makasuku.
Wanaweza kukwambia MAVI NI DAWA as long as iko prescribed na KIWANDA CHA DAWA.
Nani kasuku> Watu wanashauri kutokana na uzoefu waliopitia...lakini anatakiwa pia amcheki spealist wa ngozi....vipele vya scabies ni rahisi sana kuvigundua....na scabies wenyewe wanakuwa active usiku ....so kama vinasumbua usiku posibility kubwa ni scabies...amcheki mtaalam kwanzaHao ni makasuku.
Wanaweza kukwambia MAVI NI DAWA as long as iko prescribed na KIWANDA CHA DAWA.
Nina LESENI YA KUSEMA UKWELI na KUPAMBANA NA MAKASUKU.Mzee una leseni ya udaktari lakini?
Wewe unaona maoni yako pekee ndiyo sahihi? Utakuwa na matatizo ya akili....hope jamaa yetu atafuata ushauri kwa busara...Nina LESENI YA KUSEMA UKWELI na KUPAMBANA NA MAKASUKU.
Hiyo leseni ninayo na ninaitumia ipasavyo.
Popote nikimuona KASUKU ANAINUKA nashughulika nae KIKAMILIFU.
Tena nawapenda sana hawa MAKASUKU WA MITANDAONI maana nawamulika vizuri na wanaipata vema.
Nchi inazalisha MAKASUKU na MADALALI tu kila pahala.
Ohhh chanjo, kadungwe chanjo, chanjo ni uhai, chanjo sijui nini. Unadungwa chanjo UNAPOOZA MIGUU. Ukipooza mwili wanakuruka wanakwambia ooohh una kisukari sijui nini. PUMBAVU KABISA.
WAFANYE KAZI na KUTUMIA AKILI.
UKASUKU HATUTAKI. LA SIVYOO!!
Mzee kwani wamekufanyeje hadi imekua hivyo nini kimekusibu usiwahi kupooza mguu baada ya kudungwa chanjo?Nina LESENI YA KUSEMA UKWELI na KUPAMBANA NA MAKASUKU.
Hiyo leseni ninayo na ninaitumia ipasavyo.
Popote nikimuona KASUKU ANAINUKA nashughulika nae KIKAMILIFU.
Tena nawapenda sana hawa MAKASUKU WA MITANDAONI maana nawamulika vizuri na wanaipata vema.
Nchi inazalisha MAKASUKU na MADALALI tu kila pahala.
Ohhh chanjo, kadungwe chanjo, chanjo ni uhai, chanjo sijui nini. Unadungwa chanjo UNAPOOZA MIGUU. Ukipooza mwili wanakuruka wanakwambia ooohh una kisukari sijui nini. PUMBAVU KABISA.
WAFANYE KAZI na KUTUMIA AKILI.
UKASUKU HATUTAKI. LA SIVYOO!!
Yes, atafuata ushauri wa kupaka MADAWA YA NGOZI kisha awaache PARASITES kwenye UTUMBO wakiendelea kutema TOXINS.hope jamaa yetu atafuata ushauri kwa busara...
Tuliza jazba mkuuNa hayo MAPELE wakati mwingine yanaashiria uwepo wa PARASITES kwenye UTUMBO au TUMBONI.
MINYOO inatema SUMU ambazo zinasababisha REACTION YA MWILI kwa mfumo wa MAPELE.
MINYOO na MICROSCOPIC PARASITES, wamejishikiza huko kwenye MATUMBO wanatema UCHAFU na TOXINS.
UTAPAKA SANA MADAWA YA NGOZI unawatajirisha FAMASI kumbe mwanao ananyongorotwa na MAMINYOO huko ndani kwenye MIFUMO.
Hii ndio SAYANSI YA KWELI, sio SAYANSI YA UDALALI WA MACHANJO NA MADAWA UCHWARA.
Nonsense indeed.itabidi nyumba nzima mpake dose...na kufanya bonge la usafi...
Pole kwa changamoto Mkuu-ila itakuwa Kuna vya ziada Dr alikueleza labda hukumsikiliza au kumzingatia.Habari Team
Poleni na majukumu, watoto wangu Wana Ugonjwa wa ngozi wanajikuna na kutokea vidonda na kuacha makovu meusi.
Nilifika hospital nikaambiwa na alegi waache kutumia ,mayai, nyama, maziwa na vitu vya sukari.
Niliacha kuwapa lakini bado watoto wanajikuna na kuacha makovu
Naombeni kujuzwa hata dawa za mitishamba ziwasaidie.
Asanteni
Nitarud kuleta mrejeshoLabda ajaribu hizo aone matokeo zikigonga mwamba arudi hapa kuleta mrejesho,
Nipo Dar mkuuPole kwa changamoto Mkuu-ila itakuwa Kuna vya ziada Dr alikueleza labda hukumsikiliza au kumzingatia.
Vipi unapatikana mkoa gani?
Mkuu naomba nikuulize, wewe ukiumwa unaenda wapi?Nina LESENI YA KUSEMA UKWELI na KUPAMBANA NA MAKASUKU.