Msaada, Ugonjwa wa ngozi unaotesa Wanangu

Na hayo MAPELE wakati mwingine yanaashiria uwepo wa PARASITES kwenye UTUMBO au TUMBONI.

MINYOO inatema SUMU ambazo zinasababisha REACTION YA MWILI kwa mfumo wa MAPELE.

MINYOO na MICROSCOPIC PARASITES, wamejishikiza huko kwenye MATUMBO wanatema UCHAFU na TOXINS.

UTAPAKA SANA MADAWA YA NGOZI unawatajirisha FAMASI kumbe mwanao ananyongorotwa na MAMINYOO huko ndani kwenye MIFUMO.

Hii ndio SAYANSI YA KWELI, sio SAYANSI YA UDALALI WA MACHANJO NA MADAWA UCHWARA.
 
BBE ( Descriptions. Benzyl benzoate is used to treat lice and scabies infestations. This medicine is believed to be absorbed by the lice and mites and to destroy them )

Note: Both BBE na Scaboma treats scabies
Labda ajaribu hizo aone matokeo zikigonga mwamba arudi hapa kuleta mrejesho,
 
Na hayo MAPELE wakati mwingine yanaashiria uwepo wa PARASITES kwenye UTUMBO au TUMBONI.

MINYOO inatema SUMU ambazo zinasababisha REACTION YA MWILI kwa mfumo wa MAPELE.

MINYOO na MICROSCOPIC PARASITES, wamejishikiza huko kwenye MATUMBO wanatema UCHAFU na TOXINS.

UTAPAKA SANA MADAWA YA NGOZI unawatajirisha FAMASI kumbe mwanao ananyongorotwa na MAMINYOO huko ndani kwenye MIFUMO.

Hii ndio SAYANSI YA KWELI, sio SAYANSI YA UDALALI WA MACHANJO NA MADAWA UCHWARA.
Mzee una leseni ya udaktari lakini?
 
Hao ni makasuku.

Wanaweza kukwambia MAVI NI DAWA as long as iko prescribed na KIWANDA CHA DAWA.
Nani kasuku> Watu wanashauri kutokana na uzoefu waliopitia...lakini anatakiwa pia amcheki spealist wa ngozi....vipele vya scabies ni rahisi sana kuvigundua....na scabies wenyewe wanakuwa active usiku ....so kama vinasumbua usiku posibility kubwa ni scabies...amcheki mtaalam kwanza
 
Mzee una leseni ya udaktari lakini?
Nina LESENI YA KUSEMA UKWELI na KUPAMBANA NA MAKASUKU.

Hiyo leseni ninayo na ninaitumia ipasavyo.

Popote nikimuona KASUKU ANAINUKA nashughulika nae KIKAMILIFU.

Tena nawapenda sana hawa MAKASUKU WA MITANDAONI maana nawamulika vizuri na wanaipata vema.

Nchi inazalisha MAKASUKU na MADALALI tu kila pahala.

Ohhh chanjo, kadungwe chanjo, chanjo ni uhai, chanjo sijui nini. Unadungwa chanjo UNAPOOZA MIGUU. Ukipooza mwili wanakuruka wanakwambia ooohh una kisukari sijui nini. PUMBAVU KABISA.

WAFANYE KAZI na KUTUMIA AKILI.

UKASUKU HATUTAKI. LA SIVYOO!!
 
Wewe unaona maoni yako pekee ndiyo sahihi? Utakuwa na matatizo ya akili....hope jamaa yetu atafuata ushauri kwa busara...
 
Nina LESENI YA KUSEMA UKWELI na KUPAMBANA NA MAKASUKU.

Hiyo leseni ninayo na ninaitumia ipasavyo.

Popote nikimuona KASUKU ANAINUKA nashughulika nae KIKAMILIFU.

Tena nawapenda sana hawa MAKASUKU WA MITANDAONI maana nawamulika vizuri na wanaipata vema.

Nchi inazalisha MAKASUKU na MADALALI tu kila pahala.

Ohhh chanjo, kadungwe chanjo, chanjo ni uhai, chanjo sijui nini. Unadungwa chanjo UNAPOOZA MIGUU. Ukipooza mwili wanakuruka wanakwambia ooohh una kisukari sijui nini. PUMBAVU KABISA.

WAFANYE KAZI na KUTUMIA AKILI.

UKASUKU HATUTAKI. LA SIVYOO!!
Mzee kwani wamekufanyeje hadi imekua hivyo nini kimekusibu usiwahi kupooza mguu baada ya kudungwa chanjo?
 
hope jamaa yetu atafuata ushauri kwa busara...
Yes, atafuata ushauri wa kupaka MADAWA YA NGOZI kisha awaache PARASITES kwenye UTUMBO wakiendelea kutema TOXINS.

Sayansi za VIJANA WANAOVAA MILEGEZO.

Anakupima moyo huku anachati WhatsApp.
 
Na hayo MAPELE wakati mwingine yanaashiria uwepo wa PARASITES kwenye UTUMBO au TUMBONI.

MINYOO inatema SUMU ambazo zinasababisha REACTION YA MWILI kwa mfumo wa MAPELE.

MINYOO na MICROSCOPIC PARASITES, wamejishikiza huko kwenye MATUMBO wanatema UCHAFU na TOXINS.

UTAPAKA SANA MADAWA YA NGOZI unawatajirisha FAMASI kumbe mwanao ananyongorotwa na MAMINYOO huko ndani kwenye MIFUMO.

Hii ndio SAYANSI YA KWELI, sio SAYANSI YA UDALALI WA MACHANJO NA MADAWA UCHWARA.
Tuliza jazba mkuu
 
Habari Team
Poleni na majukumu, watoto wangu Wana Ugonjwa wa ngozi wanajikuna na kutokea vidonda na kuacha makovu meusi.

Nilifika hospital nikaambiwa na alegi waache kutumia ,mayai, nyama, maziwa na vitu vya sukari.

Niliacha kuwapa lakini bado watoto wanajikuna na kuacha makovu

Naombeni kujuzwa hata dawa za mitishamba ziwasaidie.

Asanteni
Pole kwa changamoto Mkuu-ila itakuwa Kuna vya ziada Dr alikueleza labda hukumsikiliza au kumzingatia.

Vipi unapatikana mkoa gani?
 
IMG_5469.jpg

IMG_5468.jpg

Pole sana mkuu, jaribu kutafuta hizo dawa 2 zichanganye na mafuta ya Vaseline ya watoto. Wapake mara 2 kutwa kila wanapomaliza kuoga.

Pia jaribu kuchunguza aina ya vyakula unavyowapatia pindi tatizo linapojitokeza, na zingatia usafi wa mazingira wanayoishi kwa ujumla.

Achana na sabuni za manukato.
 
Nina LESENI YA KUSEMA UKWELI na KUPAMBANA NA MAKASUKU.

Hiyo leseni ninayo na ninaitumia ipasavyo.

Popote nikimuona KASUKU ANAINUKA nashughulika nae KIKAMILIFU.

Tena nawapenda sana hawa MAKASUKU WA MITANDAONI maana nawamulika vizuri na wanaipata vema.

Nchi inazalisha MAKASUKU na MADALALI tu kila pahala.

Ohhh chanjo, kadungwe chanjo, chanjo ni uhai, chanjo sijui nini. Unadungwa chanjo UNAPOOZA MIGUU. Ukipooza mwili wanakuruka wanakwambia ooohh una kisukari sijui nini. PUMBAVU KABISA.

WAFANYE KAZI na KUTUMIA AKILI.

UKASUKU HATUTAKI. LA SIVYOO!!
Mkuu naomba nikuulize, wewe ukiumwa unaenda wapi?
 
Back
Top Bottom