Msaada: Ujuzi juu ya mawe haya ya vito(germstone)

Msaada: Ujuzi juu ya mawe haya ya vito(germstone)

Hongera kwa kuwa na moyo wa kusaidiana mkuu hata kwa mawazo[/QUOTE

hii biashara ni nzuri kam utakua na subira nayo.lazima uipe mda kuisoma na hapo pesa ztalika sana .lakin ukishaijua utaenjoy sana.

Mkuu kwa mocambique hiyo kitu ipo nje nje sana ila sasa useme ni issue ya kutojua nini unafanya
 
1 mil tshs starting point.....kuna jamaa anayo blue sofaya,red ganite,na green! anataka nimpe hela aniachie mzigo but sijui A wala B za haya madude!! nipe details mkuu Excel

mkuu hii biashara inahitaji uzoefu wa kutosha,feasibility study ni muhimu kufanya,kwanza unataka kuuza rough au pure gemstone ujue hlo..
mambo ya muhimu mkuu angalia colour,clarity,shape,size nakushauri ucheck google pia jaribuu kuuliza watu wanaofanya hii biashara
NOTE:epuka matapeli
 
Last edited by a moderator:

Amen for that!
 
Rangi inatakiwa iweje? Shape pia inatakiwa iweje?
 
wacha kabisa kushika hayo mawe kama huyajui.utauziwa vyupa vya soda au changarawe .ukifika sokoni unaweza ukazimia.me ilinichukua zaidi ya miez3 kuisoma tu.lazima uwe na vifaa pia kama faiber na scala kwa vipimo vya awali.unaweza ni pm ukiitaji

Nita uzingatia ushauri wako! Nipe mbinu jinsi ya kujua jiwe la ukweli manually!!
 
Attachments

  • IMG-20150427-WA0000.jpg
    IMG-20150427-WA0000.jpg
    101.5 KB · Views: 114
  • IMG-20150430-WA0009.jpg
    IMG-20150430-WA0009.jpg
    256.3 KB · Views: 107
  • IMG-20150331-WA0009.jpg
    IMG-20150331-WA0009.jpg
    7.9 KB · Views: 102
  • IMG-20150318-WA0005.jpg
    IMG-20150318-WA0005.jpg
    68.9 KB · Views: 114
Hapo kuna Sunstone, kuna supphire ya kilosa, kuna ruby high caboshon ya singida, na kuna madini aina ya quartz
 
Back
Top Bottom