Msaada ,ukifanya mapenzi na mjamzito wa miezi 9 kuna madhara?

Msaada ,ukifanya mapenzi na mjamzito wa miezi 9 kuna madhara?

Junior Lecturer

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
913
Reaction score
582
Habari wana jf!
Nima mchumba wangu anaitwa sharifa;nimjamzito wa miezi 9 sasa,katika mwezi huu wa mwisho sharifa amebadilika na kuwa kama mtu aliye patwa na pepo la ngono,maranyingi ananitaka nishjinde nyumbani tu na muda wote tuwapo nyumbani huni taka tufanye mapenzi karibu kila baada ya masaa kazaa.
Yaani utakuta kwa siku hata mara tatu ;yeye hupenda kulala sana ,sasa utasikia junior njoo kaniletee juice nikija ananishika mkono na kuniambia anajisikia kufanya mapenzi na mi kwa jinsi ninavyo mpenda huwa najitahidi kumchezee tu labda ata ridhika lakini kinyume chake hunilazimisha lazima anko awajibike.
Sasa swali langu ni je hakuna madhara ambayo anaweza kupa wakati huu anaujauzito wa miezi tisa?
Tafadhari msaada.
BASED ON TRUE STORY.
 
Hapo mkuu unapanua njia. Ila mara 3 kutwa hiyo dozi hatari sana utakuwa unapiga bao la upepo tu mwsho utamkojolea mikojo yako. Vipi huna kazi ya kufanya kana kwamba unashinda tu nyumbani km vile na ww mjamzito!??
 
upi sasa ushauri wako au ni madharagai ntapata au atapata?
Au wewe umemaliza formfour juzi?
 
hakuna madhara aisee. just make sure she is on top.
 
Piga tu njia inafunguka vizuri ila mtoto atatoka na manii kichwani. Alafu mara 3 kwa siku huwa unafanya kaxi ? Hau ukipanda kama jogoo fasta unamliza?
 
Twanga mkuu inaonesha sharrifa anawashwa sana!
Ila jitahd ukifikia enjaculation point, withdraw mgegedo wako kuepuka adha ya madaktari kumnyanyapaa mkeo siku ya kujifungua. Coz hiyo mikamasi yako hutanda kwenye fuko la mtoto n it is useless.
Angalizo sperms ni za moto so kuna uwezekano zikaleta side effects i.e kipara na pepo la mahaba!
 
Mpe tu mkongojo mwenzako haina shida ila epuka zile sex positions ambazo mkongojo unakaribia kugusa cervix kama missionary na dog style. Unaweza kuleta madhara yasiyokusudiwa.
 
Haina madhara na sababu kubwa kwa Sharifa kukuganda ni effect ya sex hormones ambazo huwa juu kwa wamama wajawazito zaidi ya wanawake wasio wajawazito.
 
Haina madhara hasa kama mtatumia mikao salama kwake!
Kulikuwa na ulazima wa kutaja jina lake?
 
hongera zenu kwa Upendo. Omba iwe hivi hata baada ya kujifungua mda ukipita ka wiki 6 hivi.
 
Watu hawana kazi hadi wanashinda wakitiana
 
Hapo mkuu unapanua njia. Ila mara 3 kutwa hiyo dozi hatari sana utakuwa unapiga bao la upepo tu mwsho utamkojolea mikojo yako. Vipi huna kazi ya kufanya kana kwamba unashinda tu nyumbani km vile na ww mjamzito!??

mara tatu ila anapiga kabao kamoja kamoja
 
Piga tu njia inafunguka vizuri ila mtoto atatoka na manii kichwani. Alafu mara 3 kwa siku huwa unafanya kaxi ? Hau ukipanda kama jogoo fasta unamliza?

akiekuaambia mtoto atatoka na manii ni nani? sehemu alipo mtoto wala manii haifiki yupo.sehem salama wala hawez kumfikia
 
wala hain madhara kama hana tatizo lolote endeleeni tu ila chupa ikishapasuka baasi
 
I had such experience, haina madhara kabisa kama mimba yake haina complications zozote. Isipokiwa uangalie mikao salama.
 
Back
Top Bottom