Junior Lecturer
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 913
- 582
Habari wana jf!
Nima mchumba wangu anaitwa sharifa;nimjamzito wa miezi 9 sasa,katika mwezi huu wa mwisho sharifa amebadilika na kuwa kama mtu aliye patwa na pepo la ngono,maranyingi ananitaka nishjinde nyumbani tu na muda wote tuwapo nyumbani huni taka tufanye mapenzi karibu kila baada ya masaa kazaa.
Yaani utakuta kwa siku hata mara tatu ;yeye hupenda kulala sana ,sasa utasikia junior njoo kaniletee juice nikija ananishika mkono na kuniambia anajisikia kufanya mapenzi na mi kwa jinsi ninavyo mpenda huwa najitahidi kumchezee tu labda ata ridhika lakini kinyume chake hunilazimisha lazima anko awajibike.
Sasa swali langu ni je hakuna madhara ambayo anaweza kupa wakati huu anaujauzito wa miezi tisa?
Tafadhari msaada.
BASED ON TRUE STORY.