Hawakupaswa kabisa kutoza ribaInterest za HESLB ni 6% unaweza onyesha bank yenye riba chini ya hio?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawakupaswa kabisa kutoza ribaInterest za HESLB ni 6% unaweza onyesha bank yenye riba chini ya hio?
Usiongee usichokijua.. tena uache kupotosha... tupo tuliomaliza kulipa miaka ya nyuma huko na hata hiyo tuliyolipa tulishawekewa cha juu nje ya kiasi kilichokopeshwa na mwaka jana tukabandikwa madeni mapya makubwa ambayo hayana justification yenye logic yoyote..Nashangazwa sana ni kwamba watu huwa hamfuatilii taarifa za habari ? Mkopo wa degree kwa sasa hakuna riba yeyote ile yaani utalipia kile ulichokopeshwa na hii imeanza mwaka 2020 rais samia suluhu alipoingia madarakani alifuta 6% ya value retension fee na heslb wakaondoa 15% ya penalty na hata wahitimu wa nyuma walifutiwa madeni ya riba .
Jaribu kuangalia videos zipo nyingi na hata articles za heslb pia zipo zinazoelezea riba kuondolewa.
Kama una uwezo wa kulipa ada achana kabisa na mikopo.Habari Wana JamiiForums.
Samahani naomba kuuliza kuhusu hili tangazo la Mikopo ya Elimu ya Stashahada (Diploma) ambalo limetolewa na Loan board (HESLB).
Swali langu ni hivi ikitokea umepewa Mkopo wa Diploma ukasoma ukahitimu Alfu badae ukahitaji kuendelea na Elimu ya Juu (Degree), Je!! ukiomba Mkopo kwa ajili ya kusoma Elimu ya Juu utapewa au Mpaka Ulipe kwanza deni la Mkopo ambao uliutumia kwa Elimu ya Stashahada?
Naomba mnisaidie Kwa hili wakuu!! Maana najaribu kuwasiliana nao Simu hawapokei, mda mwingine namba haipatikani. Nisije nikajichanganya kwenye hili.
Natanguliza shukurani.
Habari Wana JamiiForums.

Hii assumption ipuuzwe, hata medical students waliosoma private, deni halifiki 50M, nna kaka zangu wamesoma private doctor of medicine na deni sio hilo, ni around 30-35M, sasa kwa mtu aliesoma serikalini hata kama akipewa mkopo asilimia mia, deni haitafika hata 30M, kwahiyo futa huo upotoshaji uliouchanganua hapo kwa kuandika maneno ya kibiashara, sisi tuliosoma sayansi hatuelewi hizo terminology ni kututisha tu6% ya 30 ni 180,000×10yrs of payamement duration inakua 18m riba hiyo jumliisha na princple debt of 30m = 48m jumlasha na 2% ya inflation and debt collection ni 1.4 m totol debt payment 50m.........sasa hizo utaweza je kujiondoa kwenye umasikini ikianza ajira na deni la 50m.
Kwanza ukisoma masharti ya mkopo, muongozo wa utoaji mkopo na urejeshaji wake hakuna sehemu wameandika haya makolokolo uliochanganua hapa, sijui hata umeyatolea wapi?? Gharama utakayo lipa ya ziada ilioandikwa kwenye muongozo wa HESLB, ni ya "ada ya usimamizi wa mkopo" ambayo ni kidogo pia...6% ya 30 ni 180,000×10yrs of payamement duration inakua 18m riba hiyo jumliisha na princple debt of 30m = 48m jumlasha na 2% ya inflation and debt collection ni 1.4 m totol debt payment 50m.........sasa hizo utaweza je kujiondoa kwenye umasikini ikianza ajira na deni la 50m.