Msaada: Ukipewa Mkopo wa kusoma Diploma ukahitimu. Je, utapewa na mkopo wa kusoma Degree (Elimu ya Juu)?

Usiongee usichokijua.. tena uache kupotosha... tupo tuliomaliza kulipa miaka ya nyuma huko na hata hiyo tuliyolipa tulishawekewa cha juu nje ya kiasi kilichokopeshwa na mwaka jana tukabandikwa madeni mapya makubwa ambayo hayana justification yenye logic yoyote..

KAMA HAUJAFIKWA USIPOTOSHE WENZAKO WANAOPIGA HESABU ZAO NA HAWANA TAARIFA SAHIHI.. KAMA BY ANY CHANCE FAMILIA INA UWEZO WA KUSOMESHA KIJANA WAO NI VYEMA IKAACHANA KABISA NA MAMBO YA BODI YA MIKOPO
 
Kama una uwezo wa kulipa ada achana kabisa na mikopo.
 
Wakuu msaada sawali hivi iwapo mtu Anataka kuomba mkopo wa elimu ya juu alaf mzazi wake mmoja amefariki je Kuna ulazima wa chetcha Kifo ikiwa cheti chat kuzaliwa kimebainisha kama mzazi amefarik
 
 
Hii assumption ipuuzwe, hata medical students waliosoma private, deni halifiki 50M, nna kaka zangu wamesoma private doctor of medicine na deni sio hilo, ni around 30-35M, sasa kwa mtu aliesoma serikalini hata kama akipewa mkopo asilimia mia, deni haitafika hata 30M, kwahiyo futa huo upotoshaji uliouchanganua hapo kwa kuandika maneno ya kibiashara, sisi tuliosoma sayansi hatuelewi hizo terminology ni kututisha tu
 
Kwanza ukisoma masharti ya mkopo, muongozo wa utoaji mkopo na urejeshaji wake hakuna sehemu wameandika haya makolokolo uliochanganua hapa, sijui hata umeyatolea wapi?? Gharama utakayo lipa ya ziada ilioandikwa kwenye muongozo wa HESLB, ni ya "ada ya usimamizi wa mkopo" ambayo ni kidogo pia...
 
Namimi ningependa kujua nilipewaga 6m za miaka mitatu nikimanisha 2m 2m 2m hivi kwa makadirio nitakuja kulipa shingapi hao heslb
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…