Maliki hechem
New Member
- May 28, 2019
- 3
- 1
Nilishaga Maliza ujenzi yani hadi finishing ilishakamilika na ninaishi kwenye nyumba nw ila sasa kipindi hiki cha mamvua ndio nimeona hiyo effectKabla ya plasta unaweza kupaka/kupulizia kemikali za kuzuia fangasi.
Pole mkuu, kama tatizo litazidi plasta hua inabanduka yenyewe. So urekebishe sasa au badae lkn marekebisho huanzia kweny plasta.Nilishaga Maliza ujenzi yani hadi finishing ilishakamilika na ninaishi kwenye nyumba nw ila sasa kipindi hiki cha mamvua ndio nimeona hiyo effect
Nashukuru sana, ni materials gani bora kwemye treatment ya hiliPole mkuu, kama tatizo litazidi plasta hua inabanduka yenyewe. So urekebishe sasa au badae lkn marekebisho huanzia kweny plasta.
Duh Umejenga Bonde la Msimbazi au Mkwajuni Bondeni?Somehow inasaidia sana
Mie ni fundi tu Mkuu, sio mali yangu hiyoDuh Umejenga Bonde la Msimbazi au Mkwajuni Bondeni?
Materials ni aina nyingi kampuni tofauti inategemea mfuko wako na ushauri wa fundi uliyenae;Nashukuru sana, ni materials gani bora kwemye treatment ya hili
Ongezea hapo mkuu Kwa wanaoanza kujenga,wakumbuke hata kutumia DPC (Ngozi ulaya),kabla ya kulaza tofali, then wakati wa plaster ni muhimu kutumia waterproof materials kuzuia unyevu unaoweza haribu rangiMaterials ni aina nyingi kampuni tofauti inategemea mfuko wako na ushauri wa fundi uliyenae;
1. Anti-fungus;- Una-spray ukutani kwenye tofali au ukuta,
2. Waterproof cement wakati wa plasta,
Hizo ndo treatment muhimu kwa sababu zinakua ndani ya ukuta. Pia unaweza kuongezea material nyingine hutumika kweny skimming au rangi.