dada sorpole sana kaka
Habari zenu wakuu
Nimekua na mambo yananisumbua zaidi ya mwaka sasa, na nimeweza kuwa mnafki na kuyaweka moyoni tu bila kuongea kwa watu mambo hayo.

Kutokana na mambo mengimengi nilijikuta siwezi kulala usiku bila kumeza dawa(piriton)
Mwanzoni nilichukulia kawaida lakini sasa naona hali inazidi kuwa mbaya zaidi nilianza na vidonge viwili sasa nimefikia vitano.

Kila siku usiku ni lazima nimeze vidonge hivyo kama nahitaji kulala na vimekua msaada mkubwa kwangu
Lakini sasa vinanitesa, Mapigo ya moyo yanaenda mbio mda wote natoka jasho kama glass iliyotolewa kwenye jokofu, Nahisi kizunguzungu mara kwa mara na giza la gafla hata imefikia kuanguka anguka.

Ndugu wamekua wakiulizana nini tatizo nashindwa kuwaelezea tabia yangu ya kubwia mavidonge kila usiku, na nisingependa watu wafahamu napitia nini katika nafsi yangu.

Nifanyeje niweze kuacha matumizi ya dawa hizi??
Je nikiendelea na ulevi huu nini mwisho wangu??
Piriton zina side effects in the long runMy dear, hii shida ni ya kiroho zaidi.
tatizo bila piritoni siwezi kulala kabisa akili yangu inakuwa busy kuwaza
Leta hilo la kiroho pia tutaliombea kwa dhatiMy dear, hii shida ni ya kiroho zaidi.
tatizo bila piritoni siwezi kulala kabisa akili yangu inakuwa busy kuwaza
Pole sana Dada !!.Habari zenu wakuu
Nimekua na mambo yananisumbua zaidi ya mwaka sasa, na nimeweza kuwa mnafki na kuyaweka moyoni tu bila kuongea kwa watu mambo hayo.

Kutokana na mambo mengimengi nilijikuta siwezi kulala usiku bila kumeza dawa(piriton)
Mwanzoni nilichukulia kawaida lakini sasa naona hali inazidi kuwa mbaya zaidi nilianza na vidonge viwili sasa nimefikia vitano.

Kila siku usiku ni lazima nimeze vidonge hivyo kama nahitaji kulala na vimekua msaada mkubwa kwangu
Lakini sasa vinanitesa, Mapigo ya moyo yanaenda mbio mda wote natoka jasho kama glass iliyotolewa kwenye jokofu, Nahisi kizunguzungu mara kwa mara na giza la gafla hata imefikia kuanguka anguka.

Ndugu wamekua wakiulizana nini tatizo nashindwa kuwaelezea tabia yangu ya kubwia mavidonge kila usiku, na nisingependa watu wafahamu napitia nini katika nafsi yangu.

Nifanyeje niweze kuacha matumizi ya dawa hizi??
Je nikiendelea na ulevi huu nini mwisho wangu??
Pole,tafuta kanisa la kikristo utawekwa huruMy dear, hii shida ni ya kiroho zaidi.
tatizo bila piritoni siwezi kulala kabisa akili yangu inakuwa busy kuwaza
Mrejesho vipi upo fine Sasa hivi sio.... Kwa sabbu aukufunga thread yako kama umepona au lah,!!!!Naona umekuja kufukua kaburi, mambo ya march leo julai?
UsijaliNaona umekuja kufukua kaburi, mambo ya march leo julai?
My dear, hii shida ni ya kiroho zaidi.