Afrocentric view
JF-Expert Member
- Jun 19, 2022
- 1,374
- 2,280
Aingie eBay Tu au kikuu...ila drysol nadhani pharmacy inapatikanaNadhani vibali vinatolewa na wizara husika
Hapo inategemea je hiyo dawa haijawahi sajiliwa Tz?kama ilishasajiliwa basi itakuwa na official distributor ambae aliainishwa na mzalishaji wa bidhaa pindi inasajiliwa hivyo kama unaitaka hiyo bidhaa either uiagize kupitia Kwa official distributor au mzalishaji awataarifu TMDA kuwa na wewe ni distributor wa dawa yaoHello wakuu, naomba kuuliza
Kwa mtu anaetaka kuagiza Dawa ambazo hazipatikani Tanzania Kuna utaratibu Gani?
Mfano mtu anataka kuagiza DMT,Steroids,whey protein au drysol .
Mimi nataka kuagiza drysol,Ni antiperspirant kama deodorant Za Nivea.
Mwenye kujua utaratibu anisaidie
Huwezi agiza mkuu, otherwise ukasajili kampuni ya madawa, upate leseni ya kuagiza kutoka TMDA, vibali tu itakugharimu sio chini ya 2M , kisha ndio uagize kwa bei ya huko plus freight cost....Hello wakuu, naomba kuuliza
Kwa mtu anaetaka kuagiza Dawa ambazo hazipatikani Tanzania Kuna utaratibu Gani?
Mfano mtu anataka kuagiza DMT,Steroids,whey protein au drysol .
Mimi nataka kuagiza drysol,Ni antiperspirant kama deodorant Za Nivea.
Mwenye kujua utaratibu anisaidie
ARV ndo mpaka uagize nje ya nchi?mbona mahospitali wanagawa bure?Hello wakuu, naomba kuuliza