Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Utagundua vipi una minyoo?Muda sahihi ni pindi unapogundua una minyoo. Muda ambao sio sahihi ni wakati ukiwa hauna minyoo
Asubuhi kabla ya kutia chochote tumboni,minyoo Wana kawaida ya kula wao kwanza chochote uwekajo tumboni,so ukiweka dawa wao huanzw kuila wakidhani msosi,itabidi ukae nusu saa baada ya kunywa dawa ndiyo ule kituHuwa nachanganyikiwa kwa kweli. Maana utakuta unaambiwa unatakiwa kutafuna asubuhi kabla ya kula. Huku wengine wakisema hata kama umekula ni sahihi.
Je , upi ni wakati sahihi?
Asubuhi kabla hajaweka chochote kwakinywa
Akienda haja kubwa hutoa nini?Asubuhi kabla hajaweka chochote kwakinywa
Ukilewa usichat.!Akienda haja kubwa hutoa nini?
Unajua kwamba situmii pombe... Jibu kwa faida ya members...Ukilewa usichat.!
Umeanza kuchanganyikiwa lini lakini???Unajua kwamba situmii pombe... Jibu kwa faida ya members...
Nasikia ukinywa dawa za minyoo, humtoa au huwatoa kwa haja kubwa...Umeanza kuchanganyikiwa lini lakini???
Sema kwanza minyoo wa wapi sehemu zq siri, utumbo, ulimi, ubongo, uti wa mgongo, au wapi?Je , upi ni wakati sahihi?
Kumbe..! Nilikua sijui aseeeNasikia ukinywa dawa za minyoo, humtoa au huwatoa kwa haja kubwa...