Msaada: Usafirishaji wa Udongo/Mchanga

Msaada: Usafirishaji wa Udongo/Mchanga

ze farmer

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
922
Reaction score
1,804
Wakuu habari.
Wakuu hapa nilipo nilianzisha greenhouse japo haikufanya vizuri. Mtaalamu wangu akashauri nitafute udongo wa aina fulani uliokuwa unapatikana mkoa wa pili so nikakodi gari kwenda kuchukua. La ajabu na kushangaza tulikamatwa na wazee wa barabarani na kuambiwa hatujalipa ushuru eti inabidi kulipia ushuru wa madini. Aisee niliumia sana hii nchi yangu imefika huko kweli. Tulishusha mzigo wote mana tuliweka kwenye mifuko nikawaambia watafute hayo madeni ila walisema ndo sheria inavosema.
Wakuu au mm ndo sielewi yani ukibeba udongo inabidi ulipe kodi. Duu hii nchi inaelekea kuzimu walai. Yani mimi naenda kufanyia experiement kama udongo utazalisha na nimeingia gharama mtu anasema kodi. Hii nchi isha laaniwa hatutaweza endelea walai. Inshort nimewaachia hapohapo na sitarudi kuufwata.
Duuu hii sijawai iona walai. Mwenye uelewa anielimishe wakuu
 
Pole sana mkuu, ndio nchi yetu ilipofikia..hatutajali unatoka damu au unachunwa ngozi tunatafuta kodi kwa hali na Mali. Bay the way kitu najua mchanga,mawe na materials kama hizo kweli hulipiwa kama madini sijajua kwa kesi ya udongo.
 
Wakuu habari.
Wakuu hapa nilipo nilianzisha greenhouse japo haikufanya vizuri. Mtaalamu wangu akashauri nitafute udongo wa aina fulani uliokuwa unapatikana mkoa wa pili so nikakodi gari kwenda kuchukua. La ajabu na kushangaza tulikamatwa na wazee wa barabarani na kuambiwa hatujalipa ushuru eti inabidi kulipia ushuru wa madini. Aisee niliumia sana hii nchi yangu imefika huko kweli. Tulishusha mzigo wote mana tuliweka kwenye mifuko nikawaambia watafute hayo madeni ila walisema ndo sheria inavosema.
Wakuu au mm ndo sielewi yani ukibeba udongo inabidi ulipe kodi. Duu hii nchi inaelekea kuzimu walai. Yani mimi naenda kufanyia experiement kama udongo utazalisha na nimeingia gharama mtu anasema kodi. Hii nchi isha laaniwa hatutaweza endelea walai. Inshort nimewaachia hapohapo na sitarudi kuufwata.
Duuu hii sijawai iona walai. Mwenye uelewa anielimishe wakuu
Wako sahihi ndo iko hivyo.
 
Duh... Kuna siku nlliskia jiwe anasema mkulima akisafirisha mazao yasiyozidi tani 1 asilipishwe kodi, sasa itakuwa udongo wa kwenda kuzalishia na siyo kuuza? Nadhani ungejiongeza ukaenda kumuona RC wangeondoa hiyo tozo kero. Hao wa barabarani wasingekuachia maana wanaogopa kutumbuliwa.

Pia, kwa maelekezo ya kitaalamu, kuna uwezekano wa kurekebisha udongo wa hapo ulipo kwa kuchanganya na vitu kama mboji, samadi, nk kwa viwango maalum, na ukapanda mazao yanayokubaliana na udongo huo
 
Back
Top Bottom