ze farmer
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 922
- 1,804
Wakuu habari.
Wakuu hapa nilipo nilianzisha greenhouse japo haikufanya vizuri. Mtaalamu wangu akashauri nitafute udongo wa aina fulani uliokuwa unapatikana mkoa wa pili so nikakodi gari kwenda kuchukua. La ajabu na kushangaza tulikamatwa na wazee wa barabarani na kuambiwa hatujalipa ushuru eti inabidi kulipia ushuru wa madini. Aisee niliumia sana hii nchi yangu imefika huko kweli. Tulishusha mzigo wote mana tuliweka kwenye mifuko nikawaambia watafute hayo madeni ila walisema ndo sheria inavosema.
Wakuu au mm ndo sielewi yani ukibeba udongo inabidi ulipe kodi. Duu hii nchi inaelekea kuzimu walai. Yani mimi naenda kufanyia experiement kama udongo utazalisha na nimeingia gharama mtu anasema kodi. Hii nchi isha laaniwa hatutaweza endelea walai. Inshort nimewaachia hapohapo na sitarudi kuufwata.
Duuu hii sijawai iona walai. Mwenye uelewa anielimishe wakuu