Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sasa BOT walistopisha wakawapa Banks zote rukhusa ya kununua Note Mbovu! (Naisi Baada ya CAG kugunduwa ubadilifu wa zile Billions 3+ za vigogo wa BOT- So aende bank yeyote iliyo karibu nae! Watambadikishia na kumpa note mpyaAs/aleikum wapendwa,
Jamani Kuna ndugu yangu mfanyabiashara,ana noti chakavu za Kama shilling laki sita,
Utaratibu upoje akitaka kwenda kuzibadili pale bank kuu?
Asante
Sawa kabisa kwa sasa BOT wamestopisha- wamewapa Mamlaka banks zote Tanzania kubadilisha NOTE chakavuLaki sita uende bot kufanyaje??.aende kwenye dirisha/teller ata crdb/nmb/nbc etc watambadilishia
Kweli?Kwa sasa BOT walistopisha wakawapa Banks zote rukhusa ya kununua Note Mbovu! (Naisi Baada ya CAG kugunduwa ubadilifu wa zile Billions 3+ za vigogo wa BOT- So aende bank yeyote iliyo karibu nae! Watambadikishia na kumpa note mpya
NdioKweli?