Msaada: Utaratibu kubadili noti chakavu upoje BOT?

Msaada: Utaratibu kubadili noti chakavu upoje BOT?

Nuraty J

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2018
Posts
1,729
Reaction score
3,831
As/aleikum wapendwa,

Jamani Kuna ndugu yangu mfanyabiashara,ana noti chakavu za Kama shilling laki sita,
Utaratibu upoje akitaka kwenda kuzibadili pale bank kuu?
Asante
 
Laki sita uende bot kufanyaje??.aende kwenye dirisha/teller ata crdb/nmb/nbc etc watambadilishia
 
As/aleikum wapendwa,

Jamani Kuna ndugu yangu mfanyabiashara,ana noti chakavu za Kama shilling laki sita,
Utaratibu upoje akitaka kwenda kuzibadili pale bank kuu?
Asante
Kwa sasa BOT walistopisha wakawapa Banks zote rukhusa ya kununua Note Mbovu! (Naisi Baada ya CAG kugunduwa ubadilifu wa zile Billions 3+ za vigogo wa BOT- So aende bank yeyote iliyo karibu nae! Watambadikishia na kumpa note mpya
 
Laki sita uende bot kufanyaje??.aende kwenye dirisha/teller ata crdb/nmb/nbc etc watambadilishia
Sawa kabisa kwa sasa BOT wamestopisha- wamewapa Mamlaka banks zote Tanzania kubadilisha NOTE chakavu
 
Kwa sasa banki kuu ilisitisha hiyo huduma na kuzielekeza benk za bishara kutoa hiyo huduma! Unatakiwa kufika banki yoyote ya biashara iliyo karibu na wew ili kupata huduma hiyo.
Kumbuka huduma hiyo ni Bure na Haina mashart yoyote hivo hakikisha unapewa pesa sawa na uliyoenda nayo bila kuchajiwa chochote.
Kumekuwa na baadhi ya matawi ya Benki kuleta usumbufu,waambie umetoka banki kuu na wamekuelekeza ufike hapo na ikibid omba kuonana na Manager wa tawi.

Kila la kheri
 
Kwa sasa BOT walistopisha wakawapa Banks zote rukhusa ya kununua Note Mbovu! (Naisi Baada ya CAG kugunduwa ubadilifu wa zile Billions 3+ za vigogo wa BOT- So aende bank yeyote iliyo karibu nae! Watambadikishia na kumpa note mpya
Kweli?
 
Back
Top Bottom