Msaada utengenezaji sabuni za mche Arusha

Msaada utengenezaji sabuni za mche Arusha

raslimali

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
1,958
Reaction score
1,744
Habari wakuu.

Naomba yeyote mwenye biashara ya kutengeneza sabuni za mche hapa Arusha tuwasiliane anipe ujuzi.

Kama upo Arusha au una contact za mtu aliye Arusha naomba msaada wako.

Natanguliza shukrani.
 
Mkuu nenda pale ofisini kwa DC, yeye mwenyewe anafundishaga hayo Mambo ya ujasiriamali, including kutengeneza sabunji. Atakuelekeza
 
Mkuu nenda pale ofisini kwa DC, yeye mwenyewe anafundishaga hayo Mambo ya ujasiriamali, including kutengeneza sabunji. Atakuelekeza
Nashukuru mkuu. Nimuone nani pale?
 
Back
Top Bottom