Aujapiga mke wa mtu mkuuHabar madaktar,,,,Kama mada tajwa hapo juu ,,Nina zaidi ya cku 5 naamka asubuhi uume hausimami tafaut na awali hata kama Nina mkojo,,,je hili ni tatzo au ni hali ya kawaida....naomba kujuzwa
Mke wa MTU sumu na mm geto cna panyaAujapiga mke wa mtu mkuu
Axhen utani wa ngumi basJaribu kulala na CHUPI YA MKEO.....huenda ikarudisha ARI na HAMU ya tendo...
Usitishike Mkuu nenda kachekiUnanitsha mkuu
Sikusema kwa sababu kusimama kwa uume ni jambo la kwaida kuacha kusimama c jambo la kawaida ndo maana nikaleta uzWeee jamaa wewe, sasa mbona ilipokua inasimama haukutuambia labda imechoka imeamua kujipumzikia maana si wanasemaga raha jipe mwenyewe
Mzee Mugabe alisema. Ukifika pahala huwezi kusimamisha asubuhi jitayarishe na kuandika wosia"Unanitsha mkuu
Hamu ya ngono ipo ila tatzo ni pale ilipoacha kusimama asubuhi....maana ilikuwa naamka imesimama mpaka inakaribia kuchana boxerMzee Mugabe alisema. Ukifika pahala huwezi kusimamisha asubuhi jitayarishe na kuandika wosia"
Afya yako ina uhusiano mkubwa sana na uwezo na hamu ya ngono
Kadri unavyokuwa na uwezo na hamu ya ngono ndivyo afya yako inapokuwa imara
Kupungua kwa uwezo huo ni kuxorota kwa afya yako ya mwili
Take action bro
inaonekana bado u18 kwa maandishi yako haya.. sasa ukifika 30 si ndiyo kwisha kabisa. Tatizo huanza kidogokidogo anza kufanya mazoezi ya viungo.Mkuu axha hixo cna kadi aisee
HahahahaHuyo atakuwa mwenezi kwa izo stori?
Kwa mazoez ni ushaur mzur ila kwenye miaka umebug meninaonekana bado u18 kwa maandishi yako haya.. sasa ukifika 30 si ndiyo kwisha kabisa. Tatizo huanza kidogokidogo anza kufanya mazoezi ya viungo.
Ndio Mkuu ,,,,kwa nn?Wewe ni mwanaume wa Dar mkuu??
Sasa nataka na mm niwe na Tabia njema ya shikamoo baba shikamoo mamaUmenikumbusha mbali, niamkapo asubuhi uwasalimu wazazi,shikamoo mama,shikamoo baba hiyo ndio tabia njema, ila wewe kwako niamkapo asbuhi uume wangu hausimami,
Punguza mawazo,kula vyakula vya asili bila kisahau mazoezi.Sasa nataka na mm niwe na Tabia njema ya shikamoo baba shikamoo mama
Hata ucku nikienda kukojoa kitu kimelegea tuUsitishike Mkuu nenda kacheki
Vipi safari za kukojoa usiku ?
Ohhhhh!!.....sawa mkuu!Ndio Mkuu ,,,,kwa nn?